matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Kuhusu kazi, Mungu hajasema tuombè, kasema twende tukamfanyie research sisimizi au mchwa. Viumbe wenye IQ ndogo kuliko mtu lakini hawasubiri muujiza kupata chakula chao cha leo na kesho yao.Noma sana mkuu , hawajui hata kama hauamini Mungu au unaamini Mungu bila kuchpa kazi kwa juhudi na akili mambo hayatakwenda.
Consider 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜
Mithali 6:6-11