Hii ndio sababu kwanini Yesu alizungumzia sana Pesa/ Mali/ Uchumi kuliko maombi

Hii ndio sababu kwanini Yesu alizungumzia sana Pesa/ Mali/ Uchumi kuliko maombi

Noma sana mkuu , hawajui hata kama hauamini Mungu au unaamini Mungu bila kuchpa kazi kwa juhudi na akili mambo hayatakwenda.
Kuhusu kazi, Mungu hajasema tuombè, kasema twende tukamfanyie research sisimizi au mchwa. Viumbe wenye IQ ndogo kuliko mtu lakini hawasubiri muujiza kupata chakula chao cha leo na kesho yao.

Consider 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜 🐜
Mithali 6:6-11
 
Moja ya laana ya kutotii neno ni umasikini Torati 28.
Na Yesu alikuja kutukomboa kutoka kwenye laana zote za Torati ikiwemo ya kuishiwa.

Kuwa huru kifedha sio lazima uwe bilionea ila ni kutokuwa muhitaji na ombaomba. Paulo anaandika hakuwahi kuhitaji kwa mtu kitu bila kujali walimpa au la ili neno lake lisijekuwa la kujikomb na kujipendekeza akaucha unyoofu wa injili.
Hakika PAULO mbali na kutangaza Injili,pia alichapa sana kazi apate chochote kitu asiwe muhitaj kwa huduma yake

Watumishi wa leo hawataki kufanya kazi wanatafuta kuhemea kwa kondoo hadi kuwapukutisha manyoya hii sio sawa
 
Vyovyote tu aseme au asisema kanuni za maasha zipo wazi .
Mungu akikuambia kamjifunze mtoto wako mchanga ambaye hana wasiwasi kuhusu mavazi, chakula na malazi maana anakutegemea Baba 100%, ni somo jepesi kuliko kukupa mafumbo mengi kuhusu kumtemea yeye katika hali zote.

Hata hovyo biblia imejaa utitiri wa kanuni za maisha ambazo haziitaji umuamini Mungu ili zikusaidie. Ndio maana sisi tunajadili kila kitu na kila mtu hata asiyeamini uwepo wa Mungu. Maana nayeye tunaweza kumsaidia kwenda motoni akiwa angalau hajachoka sana.
 
Unafurahisha sana mkuu😁😁😁
 
Unafurahisha sana mkuu😁😁😁
😆😆😆 Watumishi hatuachi mtu. Hata Yesu hakumuacha Yuda alikuwa naye bega kwa bega hadi mwisho. Na alijua anapenda pesa, akampa kabisa uhasibu awe anatunza mapato ya misheni yake.
 
Hakika PAULO mbali na kutangaza Injili,pia alichapa sana kazi apate chochote kitu asiwe muhitaj kwa huduma yake

Watumishi wa leo hawataki kufanya kazi wanatafuta kuhemea kwa kondoo hadi kuwapukutisha manyoya hii sio sawa
Paulo alikuwa anashona mahema. Mahema kwa wakati ule yalitumika kama lodge kwa wasafiri. Ingekuwa leo tungesema alikuwa na biashara ya Apartment efeso jiji kubwa sana enzi hizo kama New York sasa. Lakini hakuunganisha moyo wake na Pesa zake, moyo wake uliunganishwa na Mungu wake.

Alikuwa na Pesa hadi, Mkuu wa mkoa flani alimuomba Rushwa ili kesi yake ifutwe
 
😆😆😆 Watumishi hatuachi mtu. Hata Yesu hakumuacha Yuda alikuwa naye bega kwa bega hadi mwisho. Na alijua anapenda pesa, akampa labisa uhasibu awe anatunza mapato ya misheni yake.
Mimi sina tatzo na wewe mkuu , leo sitakutaka uthibitishe chochote Acha niendelee na bia zangu tu mkuu.🤗
 
Mimi sina tatzo na wewe mkuu , leo sitakutaka uthibitishe chochote Acha niendelee na bia zangu tu mkuu.🤗
Sawa mkuu. Ila jipange uje uache bia kunywa juice natural na maji ya kunywa tu.
Kwa nini unywe ngano zilizochacha wakati kuna nzima sokoni ambazo unaweza kunywa uji wa ngano na ulezi ukapata afya.

Huu nao ni umasikini ambao Yesu ametupa kazi ya kuwafungua wadau wetu.☺
 
Acha aina hiyo ya ushauri mkuu , ninywe juice nimekua mtoto mimi🤗
 
Acha aina hiyo ya ushauri mkuu , ninywe juice nimekua mtoto mimi🤗
😁😁😁 hii tuishie hapa. Mindest za kuwa vitu vya afya wanywe watoto ni matokeo ya umasikini au kukaa kwenye umasikini muda mrefu, kama nchi yetu iliyomiaka mingi umasikinini.
Wanajua mkinywa familia nzima pesa itaisha.
 
Mwanadamu yupi huyo?
Mungu alipoumba Dunia na utajiri wake alimkabidhi Adam. Adam ndani yake tulikuwemo watu wote. Adam ndiye aliy4kuwa mfalme na mtawala wa dunia hii chini ya Mungu mfalme wa wafalme.

Kitendo cha mwanadamu kumsikiliza shetani lilikuwa ni tendo la kukataa alichopewa na Mungu na kumkabidhi ibirisi umiliki. Hii ndio sababu ya Shetani kupata ujasiri wa kumwambia Yesu akimsujudia atampa mali zote za dunia.

Ila Shetani hana kitu chake. Ndio maana mtu akimuamini Yesu anarudi katika utawala wa Serikali ya Mungu ambao atakaa duniani kama sehemu ya mpito huku akisubiri Mungu amuandalie sehemu bora na kumuokoa na hii ambayo imeharibiwa na kazi z ibirisi.

Hiyo ndio concept ya shetani kumiliki sio kama mwanzilishi bali kama tapeli tu aliyemrubuni mmiliki halisi na kupata haki ya kisheria kujiita mfalme wa Ulimwengu.
 
😁😁😁 hii tuishie hapa. Mindest za kuwa vitu vya afya wanywe watoto ni matokeo ya umasikini au kukaa kwenye umasikini muda mrefu, kama nchi yetu iliyomiaka mingi umasikinini.
Wanajua mkinywa familia nzima pesa itaisha.
Unajua bei ya bia mkuu ?
 
Back
Top Bottom