matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Kuhusu kazi, Mungu hajasema tuombè, kasema twende tukamfanyie research sisimizi au mchwa. Viumbe wenye IQ ndogo kuliko mtu lakini hawasubiri muujiza kupata chakula chao cha leo na kesho yao.Noma sana mkuu , hawajui hata kama hauamini Mungu au unaamini Mungu bila kuchpa kazi kwa juhudi na akili mambo hayatakwenda.
Vyovyote tu aseme au asisema kanuni za maasha zipo wazi .Kuhusu kazi, Mungu hajasema tuombè, kasema twende tukamfanyie research sisimizi.
Hakika PAULO mbali na kutangaza Injili,pia alichapa sana kazi apate chochote kitu asiwe muhitaj kwa huduma yakeMoja ya laana ya kutotii neno ni umasikini Torati 28.
Na Yesu alikuja kutukomboa kutoka kwenye laana zote za Torati ikiwemo ya kuishiwa.
Kuwa huru kifedha sio lazima uwe bilionea ila ni kutokuwa muhitaji na ombaomba. Paulo anaandika hakuwahi kuhitaji kwa mtu kitu bila kujali walimpa au la ili neno lake lisijekuwa la kujikomb na kujipendekeza akaucha unyoofu wa injili.
Mungu akikuambia kamjifunze mtoto wako mchanga ambaye hana wasiwasi kuhusu mavazi, chakula na malazi maana anakutegemea Baba 100%, ni somo jepesi kuliko kukupa mafumbo mengi kuhusu kumtemea yeye katika hali zote.Vyovyote tu aseme au asisema kanuni za maasha zipo wazi .
Unafurahisha sana mkuu😁😁😁Mungu akikuambia kamjifunze mtoto wako mchanga ambaye hana wasiwasi kuhusu mavazi, chakula na malazi maana anakutegemea Baba 100%, ni somo jepesi kuliko kukupa mafumbo mengi kuhusu kumtemea yeye katika hali zote.
Hata hovyo biblia imejaa utitiri wa kanuni za maisha ambazo haziitaji umuamini Mungu ili zikusaidie. Ndio maana sisi tunajadili kila kitu na kila mtu hata asiyeamini uwepo wa Mungu. Maana nayeye tunaweza kumsaidia kwenda motoni akiwa angalau hajachoka sana.
😆😆😆 Watumishi hatuachi mtu. Hata Yesu hakumuacha Yuda alikuwa naye bega kwa bega hadi mwisho. Na alijua anapenda pesa, akampa kabisa uhasibu awe anatunza mapato ya misheni yake.Unafurahisha sana mkuu😁😁😁
Paulo alikuwa anashona mahema. Mahema kwa wakati ule yalitumika kama lodge kwa wasafiri. Ingekuwa leo tungesema alikuwa na biashara ya Apartment efeso jiji kubwa sana enzi hizo kama New York sasa. Lakini hakuunganisha moyo wake na Pesa zake, moyo wake uliunganishwa na Mungu wake.Hakika PAULO mbali na kutangaza Injili,pia alichapa sana kazi apate chochote kitu asiwe muhitaj kwa huduma yake
Watumishi wa leo hawataki kufanya kazi wanatafuta kuhemea kwa kondoo hadi kuwapukutisha manyoya hii sio sawa
Upi?HERI KUWA MASIKINI KATIKA KRISTO MAANA HAO NI MATAJIRI KATIKA ULIMWENGU ULE UJAO
Mimi sina tatzo na wewe mkuu , leo sitakutaka uthibitishe chochote Acha niendelee na bia zangu tu mkuu.🤗😆😆😆 Watumishi hatuachi mtu. Hata Yesu hakumuacha Yuda alikuwa naye bega kwa bega hadi mwisho. Na alijua anapenda pesa, akampa labisa uhasibu awe anatunza mapato ya misheni yake.
Shetani ana mali gani?Aliyempa Shetani uwezo wa kuwa na mali ni nani?
Shetani alipata wapi uwezo wa kuwa na mali?
Sawa mkuu. Ila jipange uje uache bia kunywa juice natural na maji ya kunywa tu.Mimi sina tatzo na wewe mkuu , leo sitakutaka uthibitishe chochote Acha niendelee na bia zangu tu mkuu.🤗
Acha aina hiyo ya ushauri mkuu , ninywe juice nimekua mtoto mimi🤗Sawa mkuu. Ila jipange uje uache bia kunywa juice natural na maji ya kunywa tu.
Kwa nini unywe ngano zilizochacha wakati kuna nzima sokoni ambazo unaweza kunywa uji wa ngano na ulezi ukapata afya.
Huu nao ni umasikini ambao Yesu ametupa kazi ya kuwafungua wadau wetu.☺
😁😁😁 hii tuishie hapa. Mindest za kuwa vitu vya afya wanywe watoto ni matokeo ya umasikini au kukaa kwenye umasikini muda mrefu, kama nchi yetu iliyomiaka mingi umasikinini.Acha aina hiyo ya ushauri mkuu , ninywe juice nimekua mtoto mimi🤗
Mleta mada kasema Shetani ana mali, sasa ndio nilimuuliza huyo shetani hizo mali alitoa wapi?Shetani ana mali gani?
Alipewa na mwanadamuMleta mada kasema Shetani ana mali, sasa ndio nilimuuliza huyo shetani hizo mali alitoa wapi?
Mwanadamu yupi huyo?Alipewa na mwanadamu
Mungu alipoumba Dunia na utajiri wake alimkabidhi Adam. Adam ndani yake tulikuwemo watu wote. Adam ndiye aliy4kuwa mfalme na mtawala wa dunia hii chini ya Mungu mfalme wa wafalme.Mwanadamu yupi huyo?
Unajua bei ya bia mkuu ?😁😁😁 hii tuishie hapa. Mindest za kuwa vitu vya afya wanywe watoto ni matokeo ya umasikini au kukaa kwenye umasikini muda mrefu, kama nchi yetu iliyomiaka mingi umasikinini.
Wanajua mkinywa familia nzima pesa itaisha.