Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
-
- #201
Hakika mkuu! Tibasima alikuwa ndio bingwa wa kuchora kanda yote ya ziwa ila walikuwa kama wanne hivi familia nzima wanaitwa tibasima na wote wanajua kuchora vizuri.Mkuu umenikumbusha mbali sana. Marco Tibasima, nilipenda sana kazi zake, Msanii Africa enzi zile. Ana michoro ya kipekee sana, yupo wapi sasa?
Daah kumbe hawa jamaa walikuwepo wengi wachoraji ? Daah kwa hiyo walihama kabisa nchi aisee.......anyway maisha ndio hivyo!!Hakika mkuu! Tibasima alikuwa ndio bingwa wa kuchora kanda yote ya ziwa ila walikuwa kama wanne hivi familia nzima wanaitwa tibasima na wote wanajua kuchora vizuri.
Mimi nilisoma na mdogo wake tibasima aliekuwa anachora Msanii Africa..Nilikuwa nawasiliana na mdogo wake anasema wako London kwa sasa.
Je ni kitu kinachoweza kufanyika.. ? genious are naturally born or made?
Is genius born or made?
Eti nimeamua kujilipua...[emoji16][emoji16] comedic gold.Nimeamua kujilipua wajameni.
I think geniuses are born for most part. Na hii ni kutokana na walivyoelezewa hapa. (Jst Briefly)
One more thing that's born-related, Aquarius(es) they say, are Geniuses! 🙂
Eti nimeamua kujilipua...[emoji16][emoji16] comedic gold.
But you never disappoint...always on point in simple and informative way.
I would definitely like to hear what others think about this notion?
Ahahaha!! Kwanini mkuu?Kangi Lugola ukimfuatilia kwa makini utagundua n genius
Hongera naona umefanikiwa kuzurulia kwenye material yangu..!Me mgeni bado nazulula jf
Hongera naona umefanikiwa kuzurulia kwenye material yangu..!
Vipi umeinjoy maana Mimi huwa nahakikisha Wateja wangu wanafurahia Huduma zangu?
Nimefurahi kusikia hivyo mkuu! [emoji4]Uko vizur kijana nimekuona sehem ni mmoja wa vijana wa JF mli vizur kimaterial nimefurahia ntajifunza vingi
Pia ningependa kujua umenionea wapi hapo awali mkuu?Pamoja
Mbali sana kijana na kutag ujionePia ningependa kujua umenionea wapi hapo awali mkuu?