Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
- #201
Hakika mkuu! Tibasima alikuwa ndio bingwa wa kuchora kanda yote ya ziwa ila walikuwa kama wanne hivi familia nzima wanaitwa tibasima na wote wanajua kuchora vizuri.Mkuu umenikumbusha mbali sana. Marco Tibasima, nilipenda sana kazi zake, Msanii Africa enzi zile. Ana michoro ya kipekee sana, yupo wapi sasa?
Mimi nilisoma na mdogo wake tibasima aliekuwa anachora Msanii Africa..Nilikuwa nawasiliana na mdogo wake anasema wako London kwa sasa.