Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Tafuta post "wanaume wanaopendwa JF" post ya Demiss
Ahahaha!! Mkuu usinchekeshe! Wale wanawake baada ya kusikia nimepata mkopo wa Saccos basi wananiweka kwenye top list zao za kila kitu. Wananitengenezea mazingira ya kuninyoosha... (Kidding).

Wema na Upendo ndio silaha naishi na wale Sista zangu akina Demiss fresh saana that's why.

Tuko pamoja Old story
 
Kwa maelezo yako Newton Sir atakua either kundi la pili au la kwanza na la pili.
 
Kundi la pili, sababu
1. Aliweza karibia kila somo.
2. Aliziandaa kazi za wengine na kuzifanya official
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti brother wa Forex watu mna maneno!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kundi la pili, sababu
1. Aliweza karibia kila somo.
2. Aliziandaa kazi za wengine na kuzifanya official
Na hii ni very rare case ni sawa na mitambo mmoja unaitwa Leonardo Da'Vinci huu ulikuwa na taaluma kibao.

Nakubaliana na wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti brother wa Forex watu mna maneno!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha!! Kwani uongo mkuu!?
 
Mifano ya watanzania waliopo kwenye kundi la kwanza tafadhali ambao kazi zao zimeacha alama kwenye taifa au kimataifa.
 
Back
Top Bottom