Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kinachoendelea Ufaransa,
kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima uhalifu, vurugu, malalamiko yasiyoisha yatakuwepo
Nchi za Magharibi zimekuwa zikiruhusu wahamiaji wengi weusi kwa kigezo cha haki za binadamu, watu hao wakienda huko hugeuka wahalifu na wanaoichukia nchi, na kosa kidogo tu wapo tayari kuchoma nchi nzima
Ndio maana nazikubali nchi za mashariki kama vile China, Urusi, nchi hizi huwezi kuona wakikaribisha wahamiaji weusi hovyo hovyo kwa kigezo cha haki za binadamu au kutetea mashoga.
Ukienda China au Urusi uwe na shughuli maalum ya kufanya kama ni biashara au masomo, sio kuzamia tu
Nchi kama Uingereza, Ufaransa, Marekani, Canada, unakuta imejaa wazamiaji wa Nigeria, Kenya, Congo na kwingineko ambao ikitokea tatizo kidogo ndio wa kwanza kuchoma nchi
Baadhi ya nchi za Ulaya Magharibi zimeanza kushtuka na kuanza kuchagua wanasiasa wenye mrengo wa kizalendo au wenyewe wanaita Far-Right ambao hawacheki na kima.
Italia imechagua waziri mkuu mwanamke mwenye msimamo wa kizalendo, Marekani ilimchagua Trump ambaye matatizo ya Covid ndio yalimuangusha ila sasa anaweza kumuondoa Biden, Ufaransa nayo Macron aliponea chup chup kwa mwanamama mwingine Le Penn, na baada ya haya mavurugu , Le Penn atadhinda
Huko Ujerumani pia kuna vyama kama AfD vyenye msimamo mkali kuhusu uhamiaji ambavyo vinapata umaarufu