matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele.
Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo.
Kwa nini?
Mhubiri 3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao;
Na suluhisho la hali ya kufurukuta au kugombania roho ni Kumuamini Yesu. Mtume Mohammad hakuacha kauli yoyote ya maana ya kuwatia moyo watakaomfuata, vilevile Butha, mizimu ya babu zako, mizimu ya kichina, kihindi na kiarabu na kizungu, Wanasayansi hawana kauli ya ujasiri baada ya kufa kwako, Atheism hauba kauli zaidi ya kukuvuruga na kukutelekeza..
Ni Yesu pekee ndiye mwenye kauli iliyonyooka kuhusu Yeyote atakayemfuata.
Yohana 6:37,39
Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe.
Na mapenzi yake aliyenipeleka ni haya, ya kwamba katika wote alionipa nisimpoteze hata mmoja, bali nimfufue siku ya mwisho.
Hii ndio sababu inanifanya niendelee kumuamini Yesu katika hali zote.
Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Yesu ya dhehebu la kikristo la Katoliki waliyojitungia ikutafakarishe hili zaidi ya kitu kingine chochote.