Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

Anhaa ahsante mkuu,lakini hoja yangu ni kwamba siku ya Yesu kuzaliwa haikuwa na umuhimu wowote ndiomaana hata Biblia haikutaja.
Read between the lines

Nimrod, Saturn, Kronos, Molech and Baal

 
Mtu mwenye dhambi na asiye na imani ndiyo huwa hivyo.

Mwenye imani na Mwenyezi Mungu huwa anaukaribisha umauti na anaondoka kwa amani.
Madam Faiza,kulingana na andiko la 2Yohana1:8"Ikiwa tunasema hatuna dhambi,tunajipotosha wenyewe na kweli haimo ndani yetu". Mwanadamu pekee ambaye hakuwa na dhambi ni Yesu Kristo pekee.
 
Mkuu mambo vipi? Kulingana na Biblia,matendo yako kiujumla ndiyo yatafanya Mungu na mwanaye Yesu Kristo waamue kama utakuja kufufuliwa au wakuache kwenye usingizi na udongo milele Bali sio kauli
Salama mkuu! Umeongea sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom