by David C. Pack Where did Christmas originate? From the Bible or paganism? What is the real origin of Santa Claus—mistletoe—Christmas trees—holly wreaths—and the custom of exchanging gifts? Many are…
Madam Faiza,kulingana na andiko la 2Yohana1:8"Ikiwa tunasema hatuna dhambi,tunajipotosha wenyewe na kweli haimo ndani yetu". Mwanadamu pekee ambaye hakuwa na dhambi ni Yesu Kristo pekee.
Mkuu huwa unanfurahisha sana,yani muda wote wewe ni utani,,kulingana na Mathayo10:8b Mlipokea Bure,toeni Bure" Kwaiyo hapa hatuhitaji sadaka mkuu ni kuelimishana tu.
Mkuu mambo vipi? Kulingana na Biblia,matendo yako kiujumla ndiyo yatafanya Mungu na mwanaye Yesu Kristo waamue kama utakuja kufufuliwa au wakuache kwenye usingizi na udongo milele Bali sio kauli