Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Wengi wao ni watumiaji wa madawa ya kulevya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UK hiyo kazi inalipa. Mshahara mzuri na watu hawawi machizi. Iweje tz tu?Ajabu kweli
Ukienda australia kazi hiyohiyo ya kuokota makopo inasomesha watoto vyuo na unaweza hata kujenga gorofa huku bongo
Come.to think of it.
Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.
Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao walijiingiza kwenye ujasiriamali huu na sasa hivi wamekuwa wendawazimu kabisa.
Mpaka ilifika kipindi nikaanza kuamini kuwa huenda hawa watu wakawa wanarogezewa Uchawi na wanapo Anza KAZI ya kuokota makopo basi Uchawi ndo unakuwa umewaingia na mwisho wa siku huo Uchawi Una graduate na mhusika kuwehuka kabisa.
Sababu za kiroho kwanini watu hawa huishia kuwa wehu?
Kwa sababu wanakanyaga majalalani na kuchukua vitu vya majalalani mara nyingi Sana Kwa siku.
Kwa wastani muokota makopo anaweza kutembelea kwenye majalala 70 mpaka 100 Kwa siku ambako mbali na kukanyaga kwenye majalala hayo huchukua vitu vilivyo tupwa kwenye majalala hayo.
Majalala NI makaazi ya MAJINI WA kisheitwani ambao mbali na kusababishia matatizo mengine kama.vile nuksi nakadhalika lakini Pia ndio MAJINI wanao husika na kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu.
Nadhani ndio maana uchafu huwa unahusishwa na uwendawazimu.
So hawa jamaa hukumbana na MAJINI WA jalalani ambao huwaingia na kuwafanya kuwa wendawazimu.
Katika.ulimwengu WA Wachawi, majalala.ni.madhabahu yenye nguvu kubwa Sana Kwa habari ya kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu au kuwashusha nyota watu maana MTU aliye tiwa maradhi ya uwendazimu huyo.nyota yake.imeshushwa. Hawezi kuheshimika.wala.kuaminiwa na yoyote. Kama NI mfanyabiashara basi.biashara ndio imekufa hivyo.
umenena mkuu, yaani kwa mtu anayefanya ujasiliamali huo ni mtu aliyekata tamaa ya maisha kabisa.kiukweli ni biashara ya kiwango duni sana na mpaka mtu anaanza kuokota makopo kama kazi si bure kuna nut haziko sawa kulinganana aina ya kazi yenyewe
Hakuna cha majini yoyote yale.Ni kweli kabisa Majini hupenda kukaa majalalani na kwenye vyoo vya public, Mochware ba Makaburini..
wanakula na kunywa kila kilichotupwa huku wanafurahia!!
Inaweza ikawa na ukweli maana hata wale wazoa taka pia wanakua km wendawazimu hawanaga maisha mazuri mtaani hawaeleweki leo nimegundua taka/majalala ni sehemu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kuna jamaa naye alikuwa fresh alivyoaanza kuokota makopo baada ya muda akawa kama chizi hivi.Come.to think of it.
Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.
Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao walijiingiza kwenye ujasiriamali huu na sasa hivi wamekuwa wendawazimu kabisa.
Mpaka ilifika kipindi nikaanza kuamini kuwa huenda hawa watu wakawa wanarogezewa Uchawi na wanapo Anza KAZI ya kuokota makopo basi Uchawi ndo unakuwa umewaingia na mwisho wa siku huo Uchawi Una graduate na mhusika kuwehuka kabisa.
Sababu za kiroho kwanini watu hawa huishia kuwa wehu?
Kwa sababu wanakanyaga majalalani na kuchukua vitu vya majalalani mara nyingi Sana Kwa siku.
Kwa wastani muokota makopo anaweza kutembelea kwenye majalala 70 mpaka 100 Kwa siku ambako mbali na kukanyaga kwenye majalala hayo huchukua vitu vilivyo tupwa kwenye majalala hayo.
Majalala NI makaazi ya MAJINI WA kisheitwani ambao mbali na kusababishia matatizo mengine kama.vile nuksi nakadhalika lakini Pia ndio MAJINI wanao husika na kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu.
Nadhani ndio maana uchafu huwa unahusishwa na uwendawazimu.
So hawa jamaa hukumbana na MAJINI WA jalalani ambao huwaingia na kuwafanya kuwa wendawazimu.
Katika.ulimwengu WA Wachawi, majalala.ni.madhabahu yenye nguvu kubwa Sana Kwa habari ya kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu au kuwashusha nyota watu maana MTU aliye tiwa maradhi ya uwendazimu huyo.nyota yake.imeshushwa. Hawezi kuheshimika.wala.kuaminiwa na yoyote. Kama NI mfanyabiashara basi.biashara ndio imekufa hivyo.
Cheka anawalipa watu wamuokotee makopo ila yeye hajawahi kuokota makopo kwenye viroba.Anaokota ndiyo.
Alivyompiga yule kinyozi wa Marekani watu wakadai mmarekani mwenyewe mchovu kumbe kinyozi hoja ikaja sasa mbona Cheka muokota makopo.
Usiniambie hujui chief!?
Cheka anawalipa watu wamuokotee makopo ila yeye hajawahi kuokota makopo kwenye viroba.
Obviously you have never heard of the Socratic method in your life.Instead of answering the question, Ur talking about the question. What's up?