Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Ndio maana ccm hawtaki tusome ili tuokoteee majararani tuishi kama mashetani
 
Majalalani ni mahali salama, Ni makazi ya mapepo wabaya,majini na wachawi, hivyo wengi huingiwa na wachache hunusurika, Kama Ni makopo ni Bora uokote ukumbini na majumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe NI kichaa mwendawazimu ila aliye fanikiwa kujaza upuuzi wake kwenye kichwa chako yeye sio kichaa. He knows what he is doing. He is smart
Weka link ulipothibitisha Mungu yupo.

Ama sivyo kubali wewe muongo.
 
Kuokota makopo Ni kazi Kama kazi nyungine vile jamii inavyowachukulia na kuwadhalau ndivyo na wao wanajikataa upelekea na wao kujitambua machizi ilihali wazima
Mie nimeikota miaka 2 tena kabla ya wale wa barabarani enzi izo lipo mtongani na namiliki magari mazuri na nyumba nzuri watoto hawasomi elimu ya kodi zenu napambania mwenyewe na hihiyo kazi ya kichaa mwanangu mmoja nampeleka Canada akaoshe nyota kusoma huko mbelee [emoji16].nyie endeleeni kudhalau sekta hiyo wachina wanapiga pesa wanasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa Majini hupenda kukaa majalalani na kwenye vyoo vya public, Mochware ba Makaburini..
 
Back
Top Bottom