Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Topic ukiwekewa mbele ya pua yako utaiona? Utaijua?

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uncle hoja zimekushinda sasa unaanza kuwanga? Unataka nikuthibitishie kama Mungu yupo nijibu Kwanza swali langu how many senses do u have ? How. Can I be sure if I am.not arguing with a nonsensical person
 
Basi it's just a matter of time.

Basi
We Babu Nzaramo acha hizo?
Budege kajenga mtaa wa maana Bukoba vijini. ajili ya taka za Dar
ngoja wachaga wachangamkie fursa hiyo.

Unaendekeza vijini maskini, vichafu. Jini hasa ni msafi bana msikiege tu.

Hivyo vyako shetani kuzimu hataki kuvisikia? Haviendi siku hizi, Kakikuvaa na wewe kavae,kambie ukweli.

Wachina wanaililia sana hiyo kazi naona wamekutuma.ututishe.

Hakomi mtu hapa.
Hujiulizi anakupa huduma mbona hayo machupa ya jalalani unatumia kunywa?

Tena afadhali muokotaji.kuliko mtumiajj zimekojolewa na kaswende,syphilis, nyaa! bubos. Weee!
Huko kiwandani una uhakika na kazi yao! Tena bongo majalala?
 
Honestly hapa umebwabwaja kama mwendawazimu. Ur still proving my point
 
Honestly hapa umebwabwaja kama mwendawazimu. Ur still proving my point
Bamba na wanaume ni bamba.
Wanatoa huduma, tatizo lako we mvivu unawaonea kijicho, hata tender kukusanya taka huto kaa upate.

Imekaa kihusuda sana hii thread.mfyuuuuxc
 
Huwa nafikiria umuhimu wa waokota makopo, yaani wasingekuwepo, makopo yangekuwa mengi hadi ingetisha. Mtoa mada wewe hujielewi, nadhani waweza kuja lawitiwa kwa maisha unayoishi. Una maisha ya kudharau kazi za wengine kama wafagia vyoo na wachimba mitaro. Waokota makopo ni watu muhimu, afu wanapiga pesa nzuri isiyo na kodi, kazi yako ni kutembea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Francis Cheka tumpe muda gani kabla hajawa mental kabisa?

Na mbona hizi mambo zinaapply hapa Tz (Kama ni kweli) wakati huko kwenye tamasha la Roskilde watu wanaokota chupa kama hawana akili nzuri na hakuna anayewehuka?
Umeshasema tamasha kwahyo wale wanaosifiaga uwanja baada ya fiesta nao wao ni machizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa
 
Mbona yule boxer toka morogoro aliwahi kutuambia kuwa katika kusaka maisha alikuwa anaokota chupa barabarani na mwisho akanunua mashine ya kusaga hizo chupa na hivyo kubadilisha kabisa muelekeo wa maisha yake.
 
Nafanya uchunguzi kwa wanaofanya kazi dampo ili kujua ukweli wa nadharia yako. Nitarudi na mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…