Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ametutenga au amejitenga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo kama yapi..be openKwa Kujua Ukweli wa Mungu mwenye Vyote. Kupata Elimu ya Ki utu na Kibinadamu na Kufuata Mambo waliyofanya Wazee wetu kabla ya Kuletewa dini hizi
Mungu yupo utakuja kumwona tu siku moja japo si kwa macho ya nyama.Mwenye Enzi Mungu haonekani kwa Sababu yeye hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Viumbe wake wapo walipo hana Upendeleo na Kiumbe Yeyote yule bali ana Enzi na Viumbe wake
Yeye hausiani na Viumbe wake na Wala hakai na Viumbe wake aliwaumba na Kuwaweka Katika Sayari zake na Kila Kiumbe akamjalia akili za Kuishi kwake
Habari za kwamba Mwenye Enzi Mungu Anaongea na Viumbe wake kupitia Malaika au Mwenyewe alikuwepo Duniani si Habari Sahihi. Na kama Ingekuwa hivyo mpaka leo hii basi Angekuwa anakuja Na Kuongea na Viumbe wake
Maana Kulingana na Vitabu Mwanzo alikuwa Anaongea na Kutembea bustanini na Kuongea na Viumbe wake ila Baadae akaacha na Kuanza kutuma malaika. Ila leo hii Hata hao Malaika Hawaonekani tena, Dhana hii Haiingii akilini Kwa Mtu anayetumia akili Timamu. Kitu kinachopelekea kwamba watu wengi wamepotoshwa kumhusu Mungu na Viumbe waovu.
Mwenye Enzi Mungu hakuwahi kufanya hayo yote hajawahi kaa na Viumbe wake wala kutuma Viumbe waende kwa Viumbe wengine kumuelezea yeye alivyo.
Hawa wanaoleta Ujumbe na Kusema Ni Ujumbe wa Mungu hawajatumwa Na Mungu mwenye Vyote bali ni Viumbe waharibifu waliokuja Duniani kimagendo. Na kuwaingia watu na Kusema Kupitia Vinywa vya Watu. Kama Vile Jini anavyoingia Kwa Mtu na kusema atakavyo.
Mungu Haonekani kwa Sababu hakai na wewe hapa Duniani na Hawezi onekana a maana Hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Wewe upo alipotaka uwepo
ASANTENI
Sasa Mbona Watu humu Wamemuona Wanasema na Amevaa mavazi meupe [emoji3]Mungu yupo utakuja kumwona tu siku moja japo si kwa macho ya nyama.
Hebu tujaalie unachokisema ndio sahihi.
Inamaana mungu hakuweka sababu yeyote ya sisi kumjua yeye, maana hakuweka mitume wala malaika, sawa.
Hivyo maana yake viumbe wote hawajui (wajinga) juu ya uwepo wa mungu.
Sasa wewe haya uliyoyaandika hapa umeyatoa wapi?
Hapa ndipo unadhihirika ubatili wa hoja yako maana unatudanganya.
Hao wanaodai wamemuona Mungu hawana tofauti na wewe, maana wewe unakuja na kuanza tu kusema Mungu hivi Mungu vile mara hivi mara hivi.Kuna watu wanasema Wamemuona Mungu.
Kwahiyo hao wazee nao wameyatoa wapi ikiwa mungu hakutoa muongozo wowote?Ndio hakuweka Mitume wala Malaika.
Maana Kama Angeweka Kungekuwa na Muongozo Mmoja Tu siyo Miongozo na Vitabu vinavyopingana
Viumbe wanajua Uwepo wa Mungu ila Si kama Wewe unavyotafsiriwa kwenye Vitabu vyako. Kwamba Yupo mahali popote pale ukimuiita Anakuja kukusikiliza. Malaika, majini. Binadamu wote Tumeumbwa naye ila Hayupo Na Viumbe wake kila Kiumbe kipo mahali pake.
Kuhusu swala la Nimeyatoa Wapi nis Sawa na Nikuulize wewe umejuaje Kuhusu Mungu. Kila Kitu Kimeandikwa na Kusimulia na Mababu na Wazee wa Mwanzo kuwepo Hapa Ulimwenguni
Binadamu wa kwanza Hakuongea na Mungu ila Aliwezeshwa kujua haya na Muujiza Wa MunguKwahiyo hao wazee nao wameyatoa wapi ikiwa mungu hakutoa muongozo wowote?
Sawa mfalme zumaridi,Mwenye Enzi Mungu haonekani kwa Sababu yeye hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Viumbe wake wapo walipo hana Upendeleo na Kiumbe Yeyote yule bali ana Enzi na Viumbe wake
Yeye hausiani na Viumbe wake na Wala hakai na Viumbe wake aliwaumba na Kuwaweka Katika Sayari zake na Kila Kiumbe akamjalia akili za Kuishi kwake
Habari za kwamba Mwenye Enzi Mungu Anaongea na Viumbe wake kupitia Malaika au Mwenyewe alikuwepo Duniani si Habari Sahihi. Na kama Ingekuwa hivyo mpaka leo hii basi Angekuwa anakuja Na Kuongea na Viumbe wake
Maana Kulingana na Vitabu Mwanzo alikuwa Anaongea na Kutembea bustanini na Kuongea na Viumbe wake ila Baadae akaacha na Kuanza kutuma malaika. Ila leo hii Hata hao Malaika Hawaonekani tena, Dhana hii Haiingii akilini Kwa Mtu anayetumia akili Timamu. Kitu kinachopelekea kwamba watu wengi wamepotoshwa kumhusu Mungu na Viumbe waovu.
Mwenye Enzi Mungu hakuwahi kufanya hayo yote hajawahi kaa na Viumbe wake wala kutuma Viumbe waende kwa Viumbe wengine kumuelezea yeye alivyo.
Hawa wanaoleta Ujumbe na Kusema Ni Ujumbe wa Mungu hawajatumwa Na Mungu mwenye Vyote bali ni Viumbe waharibifu waliokuja Duniani kimagendo. Na kuwaingia watu na Kusema Kupitia Vinywa vya Watu. Kama Vile Jini anavyoingia Kwa Mtu na kusema atakavyo.
Mungu Haonekani kwa Sababu hakai na wewe hapa Duniani na Hawezi onekana a maana Hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Wewe upo alipotaka uwepo
ASANTENI
Soma surah ikhlas utumuelewa MUNGU vizuriMwenye Enzi Mungu haonekani kwa Sababu yeye hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Viumbe wake wapo walipo hana Upendeleo na Kiumbe Yeyote yule bali ana Enzi na Viumbe wake
Yeye hausiani na Viumbe wake na Wala hakai na Viumbe wake aliwaumba na Kuwaweka Katika Sayari zake na Kila Kiumbe akamjalia akili za Kuishi kwake
Habari za kwamba Mwenye Enzi Mungu Anaongea na Viumbe wake kupitia Malaika au Mwenyewe alikuwepo Duniani si Habari Sahihi. Na kama Ingekuwa hivyo mpaka leo hii basi Angekuwa anakuja Na Kuongea na Viumbe wake
Maana Kulingana na Vitabu Mwanzo alikuwa Anaongea na Kutembea bustanini na Kuongea na Viumbe wake ila Baadae akaacha na Kuanza kutuma malaika. Ila leo hii Hata hao Malaika Hawaonekani tena, Dhana hii Haiingii akilini Kwa Mtu anayetumia akili Timamu. Kitu kinachopelekea kwamba watu wengi wamepotoshwa kumhusu Mungu na Viumbe waovu.
Mwenye Enzi Mungu hakuwahi kufanya hayo yote hajawahi kaa na Viumbe wake wala kutuma Viumbe waende kwa Viumbe wengine kumuelezea yeye alivyo.
Hawa wanaoleta Ujumbe na Kusema Ni Ujumbe wa Mungu hawajatumwa Na Mungu mwenye Vyote bali ni Viumbe waharibifu waliokuja Duniani kimagendo. Na kuwaingia watu na Kusema Kupitia Vinywa vya Watu. Kama Vile Jini anavyoingia Kwa Mtu na kusema atakavyo.
Mungu Haonekani kwa Sababu hakai na wewe hapa Duniani na Hawezi onekana a maana Hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Wewe upo alipotaka uwepo
ASANTENI
Hii ni Forum huru. Si kila unachokijua wewe ndio ukweli. Unaweza Ukawa Umepotoshwa pia ndio mana unajaa Hasira
Fuatilia kitabu Ulichonacho utajua kwamba Mambo mengi yaliyoandikwa si Mambo ya Mungu bali viumbe walikaa wakaandika yao ili wakupotoshe akili yako na Watawale Hii dunia watakavyo.
Fuatilia kwa Makini utajua kwamba kuna Vita vilipoganwa kwenye hivyo vitabu vinaonyesha wazi kwamba malaika wa Mungu walipigwa na Wakashindwa na Shetani. Sasa Mungu anatumaje Malaika halafu wakaenda Kupigwa na Kushindwa
Hivyo vitabu vya mwanzo, viliandikwa na nani kama sio binadamu??Mwenye Enzi Mungu haonekani kwa Sababu yeye hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Viumbe wake wapo walipo hana Upendeleo na Kiumbe Yeyote yule bali ana Enzi na Viumbe wake
Yeye hausiani na Viumbe wake na Wala hakai na Viumbe wake aliwaumba na Kuwaweka Katika Sayari zake na Kila Kiumbe akamjalia akili za Kuishi kwake
Habari za kwamba Mwenye Enzi Mungu Anaongea na Viumbe wake kupitia Malaika au Mwenyewe alikuwepo Duniani si Habari Sahihi. Na kama Ingekuwa hivyo mpaka leo hii basi Angekuwa anakuja Na Kuongea na Viumbe wake
Maana Kulingana na Vitabu Mwanzo alikuwa Anaongea na Kutembea bustanini na Kuongea na Viumbe wake ila Baadae akaacha na Kuanza kutuma malaika. Ila leo hii Hata hao Malaika Hawaonekani tena, Dhana hii Haiingii akilini Kwa Mtu anayetumia akili Timamu. Kitu kinachopelekea kwamba watu wengi wamepotoshwa kumhusu Mungu na Viumbe waovu.
Mwenye Enzi Mungu hakuwahi kufanya hayo yote hajawahi kaa na Viumbe wake wala kutuma Viumbe waende kwa Viumbe wengine kumuelezea yeye alivyo.
Hawa wanaoleta Ujumbe na Kusema Ni Ujumbe wa Mungu hawajatumwa Na Mungu mwenye Vyote bali ni Viumbe waharibifu waliokuja Duniani kimagendo. Na kuwaingia watu na Kusema Kupitia Vinywa vya Watu. Kama Vile Jini anavyoingia Kwa Mtu na kusema atakavyo.
Mungu Haonekani kwa Sababu hakai na wewe hapa Duniani na Hawezi onekana a maana Hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Wewe upo alipotaka uwepo
ASANTENI
Liweke swali lako vizuri ndugu. Sijaelewa unalenga pointi ipiHivyo vitabu vya mwanzo, viliandikwa na nani kama sio binadamu??
Paragraph ya nne, umezungumzia vitabu vya mwanzo, hata vyenyewe viliandikwa na binadamuLiweke swali lako vizuri ndugu. Sijaelewa unalenga pointi ipi
Ndugu yangu jiulize Mungu wa Kweli atume mtu halafu Huyo mtu ashindwe na Auawe. Yaani Mungu atume Kitu halafu kishindikane. Huyo atakuwa Mungu wa Kweli na Asiyeshindwa kitu kweli. Yaani Mungu aliyeumba Ulimwengu kwa Muujiza wake leo hii atume Kitu kishindikane na KiuaweWewe ukitumwa na Mungu hauwezi ukapigwa na viumbe vilivyokuzidi uwezo kiakili, kiteknolojia na kimaumbile?
Kwenye Manabii na mitume mbona nao walitumwa na Mungu Baadhi Yao waliuawa na watu?
Kwa Uelewa wako; unafikiri malaika wanafanana na kulingana uwezo?
Zipo Aina nyingi za malaika(wajumbe wa Mungu) waishio mbinguni. Wapo malaika wenye mbawa mbili, wapo wenye mbawa nne, sita mpaka 24.
Kuna makerubi na maserafi.
Unafikiri wanalingana uwezo?
Hata Majini yapo ya Aina kadhaa kulingana na jamii zao. Hayalingani uwezo Kama tulivyobinadamu.
Mungu kukutuma haimaanishi hautapigwa na waliokuzizi uwezo ikiwa ni Mungu ataruhusu upigwe
Ndio viliandikwa na Binadamu Ndugu. Ndio maana Nasema Tutumie Akili timamu kuvichambua Vitabu hivyo kujua Kama Ndani yake Vina Ukweli wa Kibinadamu na Ki utu kuliko kukubali mambo tu bila kutumia akili timamuParagraph ya nne, umezungumzia vitabu vya mwanzo, hata vyenyewe viliandikwa na binadamu
Inamaana mungu hakutuwezesha mimi na wewe kujiua haya Bali alimuwezesha binadamu wa kwanza kujua, na huyo ndio akawafikishia mababu ndio na sisi tukajua.Binadamu wa kwanza Hakuongea na Mungu ila Aliwezeshwa kujua haya na Muujiza Wa Mungu