Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

Viwango vya CAF vya miaka 5 nyuma ndo vinaamua washiriki..hivi kweli barbra ndo awazuie Yanga kucheza na kina GSM wapo kimya tuu...hebu jaribuni hata ku google na kutumia akili basi japo kiduuuuchu....
Mambo Mtani Mrembo?

Nasubiri ahadi yangu kwa hamu sana leo hii ikiwa Yanga atatangaza ubingwa wa NBC PL 2022/2023, nimekaa pale [emoji117][emoji142][emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Vya uji?
 
Wakati huo Yanga haikuwa vizuri. Mafanikio ya msimu mmoja yasingebali kila kitu
 
Ndio nasema mkishiriki nyinyi wenye vigezo inatosha.
Sisi tunasubiri mashindano mengine ya CAF kwakua tunatofautiana vipaumbele.
 
Tuache ushabiki wa kishamba, Simba imestahili kuwa hapo kwa muda walau walijitahidi kufika robo fainali. Sisi tumekuwa imara kuanzia msimu uliopita na imara zaidi kimataifa msimu huu. Hebu tuache kusema vibaya watu bila sababu. Kikubwa timu yangu ya Yanga iwekeze zaidi na iwe na muendelezo mzuri kimataifa, Babra is a Super women, Simba wanatamani uwepo wake
 
utopolo hata mkipewa mapumziko ya mwaka mzima mtaendelea kucheza shirikisho tu.

shirikisho na preliminary stages za caf champions league ndo size ya utopolo msisahau hilo, hakuna cha recovery wala nini, your destiny is confederation cup hakuna mahala mnaweza kwenda.
 
wameelewa
 
Ndio nasema mkishiriki nyinyi wenye vigezo inatosha.
Sisi tunasubiri mashindano mengine ya CAF kwakua tunatofautiana vipaumbele.
caf gani wewee! caf champions league ni group stage ambayo ni nightmare kwa utopwinyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
caf gani wewee! caf champions league ni group stage ambayo ni nightmare kwa utopwinyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongereni Kwa kuwa wabobezi wa robo fainali, timu zinatofautiana Malengo.
Wengine wanafikiria kutwaa makombe, wengine kombe lao ni robo fainali
 
Mkuu [emoji38]
Kwanza ncheke...

Sikutegemea Uzi kama huu maana ni full kujiabisha tu. Kwanza tungeangazia vigezo vilivotumika Hadi kupata timu nane zilizoshiriki hiyo super League...
Kiukweli Simba alikua anastahili kuliko Sisi Yanga. Usiangalie mafanikio ya Yanga msimu huu na uliopita ambapo ndo Kwanza tulikua bado tunaunda timu. Turudi nyuma Miaka mitano. Simba amefanya maajabu Sana kwenye huu ukanda wetu wa Afrika mashariki na hiyo ndo imempa nafasi adimu ya kushiriki michuano hiyo.

Haimanishi wewe umeonewa la hasha! Kuna kilabu ngapi nzuri tu zinazofanya vizuri kwenye michuano ya CAF na bado hazitashiriki? Kwa hiyo just relax bado michuano ipo stage ya awali kikubwa Yanga tupambane ili ikija phase ya pili na Sisi tuwemo...

Usijione mnyonhe kumbuka kuna watabe kibao tu tena wenye makombe ya CAF hawatashiriki. Mfano Raja Casablanca, Zamalek, Orlando pirates, Kaizer chief, Barkane, Al hilal na wengine kibao. So just relax
 
Unatumia makalio kufikiri!

Kwamba Simba ndiyo walioipangia au kuielekeza CAF .

Yaani utopolo utoke huko nyumbani tu leo , miaka 20+ hujawahi kucheza hata makundi ya ndondo, unataka akina Zamaleki, pyramid, kaizee, Orlando wabaki wewe uende, kwa rekodi zipi?

Simba kafanya Jambo kwa misimu 5,Afrika ikaiwajua Simba.

Mambo so marahisi hivyo.

Klabu bingwa ulishindwa kupenya hata makundi halafu unajiona bora kabisa.

Hakuna utopolo/zuzu mwenye akili.
 
Na huko Makolo mnaenda kula Nyundo [emoji23]
 
Saizi YENU ni zalan,Malumo, makirikiri,

HAWA AKINA WYDAD,ALHALY,ZAMALECK, FAJA ,MAMELOD
HUKU NI KWA WANAUME.
 
Viwango vya CAF vya miaka 5 nyuma ndo vinaamua washiriki..hivi kweli barbra ndo awazuie Yanga kucheza na kina GSM wapo kimya tuu...hebu jaribuni hata ku google na kutumia akili basi japo kiduuuuchu....
Ingekuwa hivyo BERKANE, RAJA, na ZAMALEK wangeshiriki, tumia akili na sio Mk....ndu kufikiri.
 
Chuki itakuua ndugu yangu, watalaamu ndio wanajua nani anastahili kushiriki na nani hastahili kushiriki kuwa mpole

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kongole sana mkuu kwa kuelewa kwa haraka[emoji1474]

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…