Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Diarra alijamba kwa sauti mno!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enyimba ni yangapi?Viwango vya CAF vya miaka 5 nyuma ndo vinaamua washiriki..hivi kweli barbra ndo awazuie Yanga kucheza na kina GSM wapo kimya tuu...hebu jaribuni hata ku google na kutumia akili basi japo kiduuuuchu....
tulia wewee! hiyo robo fainali ya champions league unaijua? tokea baba yako aishuhudie utopolo ikicheza group stage alikuwa na miaka 7 mpaka leo wew unazaliwa Una ndevu kibao unapiga makelele eti kombe la simba ni robo fainali.Hongereni Kwa kuwa wabobezi wa robo fainali, timu zinatofautiana Malengo.
Wengine wanafikiria kutwaa makombe, wengine kombe lao ni robo fainali
Daaah...! Chenga kubwa sana hii ya kubadili gia angani...[emoji15]Nilisema ubingwa wa shirikisho bwana..
Kweli yanga NI kandambili aisee, hivi kweli naamini yanga Wana roho za kichawi na ndio maana huwa hawataki kuona mafanikio ya wenzao,sishangai hata wanapombania fei Toto kisa TU hawataki kumwomba akifanikiwa kimaisha Sasa Jambo la kujiuliza siku Mpira wake ukiisha je mtaendelea kumng'ang'ania hivyo hvyo kikosini mwenu? Mpira siku hizi NI maslahi Kuna wangapi mmewaacha yanga na walikuwa na mapenzi haswa ya kweli na nyie? Sioni hajabu mentality hii mkitoka nayo nje kuja kutuonea hasadi sie, Simba ndio inayojulikana duniani kaka miaka yote nyuma NI Simba ndio iliyokuwa inapeperusha bendela ya EAst AFrica sio yanga, kupoteza msomi mmoja au 2 NI kawaida Sana kwani wachezaji NI watu huwa wanachoka kinacjotakiwa NI sisi tu kuongezea nguvu kwa wachezaji wapya.Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa,
Mwanadada Barbara Gonzalez alijifanya kuacha kazi ya utendaji mkuu Simba SC ili kutupoteza maboya na wao kwenda kutusiribia kule CAF ili tusipate ushiriki wa Ligi hii kubwa na yenye thamani kuliko zote kwa ngazi ya vilabu hapa Afrika.Kwasasa huyu mdada ana nafasi kubwa kule CAF maana anaingia katika vikao vingi vya maamuzi
Kiasili msimu huu yanga nasi tulipaswa kuwemo kutokana na perfomance yetu katika michuano ya kimataifa na ya ndani........
TUSUBIRI AIBU ITAKAYOLETWA NA WENZETU MAKOLOKOCHO
View attachment 2620393
Ulishajiandaa kupongezwaDaaah...! Chenga kubwa sana hii ya kubadili gia angani...[emoji15]
Basi ndiyo nimeshakukosa Mtani nakati tayari nilishajiandaa kisaikolojia [emoji849][emoji848]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unawashwa Matako yakoIngekuwa hivyo BERKANE, RAJA, na ZAMALEK wangeshiriki, tumia akili na sio Mk....ndu kufikiri.
Ulijuaje? Yani ni sawa na Me aliyekaa mahali kusubiria Pisi Kali haswaa ghafla anaambiwa safari imeota mbawa [emoji30]Ulishajiandaa kupongezwa
Hata hivyo mi nawe huwa hatudhuriani, ebu rahisisha njia basi angalau nisije nikajiona nina gundu, au siyo Pisi Kali [emoji848][emoji87]Ulishajiandaa kupongezwa
Mashabiki wengi wa mikia wanafanya kusudi kulazimisha wapigwe ban,mods tafadharini msiwapige ban mpk tuchukue ubingwa wa cafUnawashwa Matako yako
Sio suala la vipaombele hapo wewe,hapo ni status tu.....Ndio nasema mkishiriki nyinyi wenye vigezo inatosha.
Sisi tunasubiri mashindano mengine ya CAF kwakua tunatofautiana vipaumbele.
Kwahiyo Standard ni kufika ROBO?Sio suala la vipaombele hapo wewe,hapo ni status tu.....
Levels,
Mnapaswa kupambana,imewachukua Simba sc misimu mitano kufikia hapo ilipo,sio suala la kulala na kuamka tu itoshe kufikia walipo SIMBA SC,
Hii ligi mnayochukua msimu wa pili huu wenzenu wamebeba 4 times ,back to back,
Huko CAF hawashangai SIMBA SC kufika robo,ila watashangaa ikikwama group stage,WAMESET STANDARD ambazo ninyi ni mlima mkubwa ,jitihada zitawafikisha walipo na sio chuki
Sasa waweza shinda kombe bila kufika hiyo hatua ya robo????Hongereni Kwa kuwa wabobezi wa robo fainali, timu zinatofautiana Malengo.
Wengine wanafikiria kutwaa makombe, wengine kombe lao ni robo fainali
jipigepige kifuani alafu sema mimi utopolo sina akiliIngekuwa hivyo BERKANE, RAJA, na ZAMALEK wangeshiriki, tumia akili na sio Mk....ndu kufikiri.
Kombe gani sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Standard ni kufika ROBO?
Yanga wanenda kuset STANDARD ya kubeba Kombe lenyewe
Na Mungu anavyowalaani tangu mtu wao kaenda huko Yanga inapepea tu aibu atapata yeye kila atakachosema itaonekana uzushi tuHii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa,
Mwanadada Barbara Gonzalez alijifanya kuacha kazi ya utendaji mkuu Simba SC ili kutupoteza maboya na wao kwenda kutusiribia kule CAF ili tusipate ushiriki wa Ligi hii kubwa na yenye thamani kuliko zote kwa ngazi ya vilabu hapa Afrika.Kwasasa huyu mdada ana nafasi kubwa kule CAF maana anaingia katika vikao vingi vya maamuzi
Kiasili msimu huu yanga nasi tulipaswa kuwemo kutokana na perfomance yetu katika michuano ya kimataifa na ya ndani........
TUSUBIRI AIBU ITAKAYOLETWA NA WENZETU MAKOLOKOCHO
View attachment 2620393
Akili za mashabiki wa yanga sometimes zinakuwa nyuma ya makalio maana hata hawajui mchakato unavyokuwa.Viwango vya CAF vya miaka 5 nyuma ndo vinaamua washiriki..hivi kweli barbra ndo awazuie Yanga kucheza na kina GSM wapo kimya tuu...hebu jaribuni hata ku google na kutumia akili basi japo kiduuuuchu....