Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

Yanga mna sifa gani yaani hata leo Manchester city na psg wakichukua UEFA champions league hawawezi kuwa team kubwa barani ulaya kwa hyo kucheza kombe la looser na vibonde ndio mmeshakuwa wakubwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu pale
Mkuu Simba wana sifa gani?
 
Back
Top Bottom