DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 May 14, 2023 #61 pwilo said: Akili za mashabiki wa yanga sometimes zinakuwa nyuma ya makalio maana hata hawajui mchakato unavyokuwa. Click to expand... Mwiko unawasumbua nyuma kule
pwilo said: Akili za mashabiki wa yanga sometimes zinakuwa nyuma ya makalio maana hata hawajui mchakato unavyokuwa. Click to expand... Mwiko unawasumbua nyuma kule
CARDLESS JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 7,840 Reaction score 15,918 May 14, 2023 #62 pwilo said: Yanga mna sifa gani yaani hata leo Manchester city na psg wakichukua UEFA champions league hawawezi kuwa team kubwa barani ulaya kwa hyo kucheza kombe la looser na vibonde ndio mmeshakuwa wakubwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu pale Click to expand... Mkuu Simba wana sifa gani?
pwilo said: Yanga mna sifa gani yaani hata leo Manchester city na psg wakichukua UEFA champions league hawawezi kuwa team kubwa barani ulaya kwa hyo kucheza kombe la looser na vibonde ndio mmeshakuwa wakubwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu pale Click to expand... Mkuu Simba wana sifa gani?
gTurn JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 2,651 Reaction score 4,151 May 14, 2023 #63 Mbona yanga wamo mnashida gani utopolo kila kitu Lia Lia tu. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mbona yanga wamo mnashida gani utopolo kila kitu Lia Lia tu. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 May 15, 2023 #64 CARDLESS said: Mkuu Simba wana sifa gani? Click to expand... Hapa tunajadili yanga ukitaka kujadili simba fungua uzi wake.
CARDLESS said: Mkuu Simba wana sifa gani? Click to expand... Hapa tunajadili yanga ukitaka kujadili simba fungua uzi wake.