Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita.

Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the ban – within the range of enemy weapons” which has allowed Ukrainian forces to trace their coordinates.

Rest in peace.
 
... mkiambiwa askari wa kirusi wana ujinga mwingi kama walivyo wakubwa wao kuanzisha vita ya kipumbavu huwa hamuelewi! Asante kwa ushahidi huu muhimu.
 
Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita...
Hili shambulizi kw Habari hazijawekwa wazi ni moja ya shambulizi baya kabisa kwa adui tena ktk moyo wa vita Yani kama ni ngumi tunasema Ukraine wamempiga ngumi takatifu ya uso Mrusi ambapo ktk vita unatakiwa kuuwa wanajeshi sio raia wakati Mrusi anashambulia miundo mbinu ya Ukraine na majengo na hosp ambapo keshokutwa atakuwa akijibu mashitaka ktk Mahakama za kimataifa Ukraine amekuwa akiuwa wanajeshi wa Urusi na kuharibu miundo mbinu ya kivita ili Mrusi asiwe na mahali pakushitaki kiufupi Mrusi atashindwa vita nakulipa trillion of money kujenga Ukraine. Yani hii vita itawa cost Urusi kwa zaid ya miaka 100++++ stay cool
 
kutumia smart phone ni kisingizio hata wachenchen walio uawa november sabab walisema ni hii hii.

askar wa ukraine kutwa wapo tiktok na wengine wana page zao kabisa twitter wanaripot ishu za front.

hawa majamaa hawajui kujicoumerflage
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi sio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.
 
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi zio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.

hahahahaha
 
... baada ya lile pigo kuu la the most venerated Moskva "the best of the best navy vessels in the universe", hili la "zawadi" ya mwaka mpya nalo ni zawadi nzuri sana kwa Fashisti.
Hakika..,hii ni dawa mujalabu kabisa kwa ubabe usiokuwa na muelekeo.., kulikuwa na njia zaidi ya 70 za kumaliza hili suala bila kuanzisha vita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hili shambulizi kw Habari hazijawekwa wazi ni moja ya shambulizi baya kabisa kwa adui tena ktk moyo wa vita Yani kama ni ngumi tunasema Ukraine wamempiga ngumi takatifu ya uso Mrusi ambapo ktk vita unatakiwa kuuwa wanajeshi sio raia wakati Mrusi anashambulia miundo mbinu ya Ukraine na majengo na hosp ambapo keshokutwa atakuwa akijibu mashitaka ktk Mahakama za kimataifa Ukraine amekuwa akiuwa wanajeshi wa Urusi na kuharibu miundo mbinu ya kivita ili Mrusi asiwe na mahali pakushitaki kiufupi Mrusi atashindwa vita nakulipa trillion of money kujenga Ukraine. Yani hii vita itawa cost Urusi kwa zaid ya miaka 100++++ stay cool
Hivi unakumbuka Marekani ilishambulia hospital ngapi kule Syria? Mbona hukulalsmika mkuu? Waafrika tutaendelea kuwa na akili za kinyesi!
 
Back
Top Bottom