Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

Visingizio tu
Nadhani ni kweli. Ile ilikuwa timing ya hali ya juu. Kumbuka ni dkk ya ngapi wakati akili zote zinawaza na kushangilia mwaka mpya. Inaonekana kamanda wao aliwaruhu kwaajili ya New Year Wishes. Ndio Maana nasema mashambulizi yalifanyika kwa timing na akili ya Hali ya juu mno mno. Walijua muda huo kila mtu akili yake ilikuwa unawaza kushangilia mwaka mpya, kukumbatiana, kupongezana na kupeana wishes. KUMBUKA SETILAITI TAKRIBANI 500 ZA NCHI ZA MAGHARIBI ZINATUMIKA KUKUSANYA TAARIFA ZA KIINTELIJESIA DHIDI YA RUSSIA KWENYE ENEO LA MAPIGANO.. NA KATI YA HIZO SETELAITI ZA KIJESHI NI SABINI TUU ILA 470 NI SETELAITI ZA KIRAIA LAKINI ZINATUMIKA KINYUME NA MIKATABA YA KIMATAIFA.
WALITUMIA AKILI YA HALI YA JUU NA TIMING ILIYO PANGWA NA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA.
RUSSIA WALIFANYA UJINGA WA HALI YA JUU.. WAMEFUNZWA KWA GHARAMA KUBWA YA DAMU NYINGI. ONE MISTAKE???
 
Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita.

Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the ban – within the range of enemy weapons” which has allowed Ukrainian forces to trace their coordinates.

Rest in peace.
Tatizo umwinyi wa kujiona ni Super power ukiongeza na Vodka[emoji56][emoji15][emoji12]
 
Nadhani ni kweli. Ile ilikuwa timing ya hali ya juu. Kumbuka ni dkk ya ngapi wakati akili zote zinawaza na kushangilia mwaka mpya. Inaonekana kamanda wao aliwaruhu kwaajili ya New Year Wishes. Ndio Maana nasema mashambulizi yalifanyika kwa timing na akili ya Hali ya juu mno mno. Walijua muda huo kila mtu akili yake ilikuwa unawaza kushangilia mwaka mpya, kukumbatiana, kupongezana na kupeana wishes. KUMBUKA SETILAITI TAKRIBANI 500 ZA NCHI ZA MAGHARIBI ZINATUMIKA KUKUSANYA TAARIFA ZA KIINTELIJESIA DHIDI YA RUSSIA KWENYE ENEO LA MAPIGANO.. NA KATI YA HIZO SETELAITI ZA KIJESHI NI SABINI TUU ILA 470 NI SETELAITI ZA KIRAIA LAKINI ZINATUMIKA KINYUME NA MIKATABA YA KIMATAIFA.
WALITUMIA AKILI YA HALI YA JUU NA TIMING ILIYO PANGWA NA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA.
RUSSIA WALIFANYA UJINGA WA HALI YA JUU.. WAMEFUNZWA KWA GHARAMA KUBWA YA DAMU NYINGI. ONE MISTAKE???
ONE MISTAKE - ONE GAOL. Ukraine wanatumia Akili zaidi na sio Ubongo. Pamoja na hayo Mrussi cjui mahesabu yake ya Mpangilio wa vitu hayamsaidii au vp kwani aliweka amunnitions ground floor halafu watu akawaweka 1st na 2nd floor. Yaani watu walikuwa wanafanya sherehe yao juu ya lundo la munitions. Kwa hiyo ilikuwa ni advantage kwa HIMARS kwani kombora la HIMARS lililokuja lililipua pia makombora yaliyokuwa yamehifadhiwa chini ya watu waliokuwa wanasherehekea "KIFO/New yr" chao na sio Mwaka mpya. Kwa kifupi tu ni kwamba Mrussi anafanyaga makosa mengi ya kizembe vitani na hili linamgharimu sana kupoteza askari wengi na vifaa vita.
Kwa mfano Mrussi anajua kwamba mercenaries wanafaa sana kwenye kupindua nchi lakini siyo kuteka au kukomboa nchi. Lakini yeye anawakodi Wagner wamsaidie kuteka na kulinda maeneo aliyovamia. Hapo Maakivka, mamluki 63 wa Wagner ambao walikuwa ni wageni waalikwa walipotezwa.
 
Kwa kifupi tu ni kwamba Mrussi anafanyaga makosa mengi ya kizembe vitani na hili linamgharimu sana kupoteza askari wengi na vifaa vita.
Nchi za kijamaa hazijali sana maisha ya raia au askari wao.

Hata ukisoma historia ya 'world war 2' utaona namna Ussr ilivyowatoa muhanga maelfu ya askari na raia wake walipokuwa vitani na Ujerumani.

Mrengwa wa kulia Axel Lloyd
 
Sio Maelfu bro,Ni Mamilioni kabisa. Hitler aliua zaidi ya Warusi 27M (Wanajeshi 7M na raia 20M).
 
ONE MISTAKE - ONE GAOL. Ukraine wanatumia Akili zaidi na sio Ubongo. Pamoja na hayo Mrussi cjui mahesabu yake ya Mpangilio wa vitu hayamsaidii au vp kwani aliweka amunnitions ground floor halafu watu akawaweka 1st na 2nd floor. Yaani watu walikuwa wanafanya sherehe yao juu ya lundo la munitions. Kwa hiyo ilikuwa ni advantage kwa HIMARS kwani kombora la HIMARS lililokuja lililipua pia makombora yaliyokuwa yamehifadhiwa chini ya watu waliokuwa wanasherehekea "KIFO/New yr" chao na sio Mwaka mpya. Kwa kifupi tu ni kwamba Mrussi anafanyaga makosa mengi ya kizembe vitani na hili linamgharimu sana kupoteza askari wengi na vifaa vita.
Kwa mfano Mrussi anajua kwamba mercenaries wanafaa sana kwenye kupindua nchi lakini siyo kuteka au kukomboa nchi. Lakini yeye anawakodi Wagner wamsaidie kuteka na kulinda maeneo aliyovamia. Hapo Maakivka, mamluki 63 wa Wagner ambao walikuwa ni wageni waalikwa walipotezwa.
Waukraine 200 pamoja na wageni waliuwa.
 
Mistake kwenye vita haziepukiki kumbuka pale watu wanapiga hesabu siyo kwenda kwa machale na iliushinde vita lazima upigwe ili ujifunzee makosa mnayofanya yanwapa njia ya kurekebisha na kuandaa shambulizi jipya
 
Ndiyo; ni sahihi. Lakini Mistake sio sawa na Uzembe. Unapofanya kosa la kizembe manake hufai, umeprove huna weledi kazini. Upo-Upo tu wala huwezi kujiongeza hata kidogo. Ukipigwa maana yake umepoteza askari (umepoteza mtaji) au kwa mfano kama ni mchezo wa draft tungelisema kete zako zimeliwa kutokana na uzembe wako hujui kumsoma mpinzani wako.
 
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi sio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.
Hivi wanajeshi wa Russia wanatofauti gani na senene wa Muleba?
 
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi sio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.
Mambo hayaendi vizuri na inavyoonekana kuna hatari ya kuja na mbinu za Kitaliban au Ki-Alqaeda...Kujitoa muhanga....ili "kwenda mbinguni"....Hopulesi kabisa!
Screenshot_20230104-131012_Telegram.jpg
 
Mambo hayaendi vizuri na inavyoonekana kuna hatari ya kuja na mbinu za Kitaliban au Ki-Alqaeda...Kujitoa muhanga....ili "kwenda mbinguni"....Hopulesi kabisa!
View attachment 2468856
Mzee mtu mzima amechoka ile mbaya. Washauri wake walimshauri vibaya akaanzisha vita batili na sasa presha na msongo wa mawazo vinamtafuna taratiiiib'.
 
Mfumo wa Ulinzi ulikuepo, ulifanikiwa kudungua Makombora mawili Tu ya Himars Kati ya sita yaliyorushwa. Hii ni kutokana na report ya Wizara ya Ulinzi ya Urusi.
Tangu lini Mrussi akasema Ukweli? Hayo maneno ni ya kuwaliwaza na kuwafariji wafiwa na waombolezaji katika msiba huo wa Kitaifa ikiwa ni pamoja na kuficha udhaifu na uzembe uliokuwepo kabla ya wazee wa HIMARS kufika hapo na kutoa salams za mwaka mpya chap'.
 
Kabisa ni uzembe

Russia anajua wazi anapigana na Nato indirectly. Nato wako bize kuwinda coordinates za wanajeshi wa Russia, halafu wanajiachia hivyo
 
Back
Top Bottom