Nadhani ni kweli. Ile ilikuwa timing ya hali ya juu. Kumbuka ni dkk ya ngapi wakati akili zote zinawaza na kushangilia mwaka mpya. Inaonekana kamanda wao aliwaruhu kwaajili ya New Year Wishes. Ndio Maana nasema mashambulizi yalifanyika kwa timing na akili ya Hali ya juu mno mno. Walijua muda huo kila mtu akili yake ilikuwa unawaza kushangilia mwaka mpya, kukumbatiana, kupongezana na kupeana wishes. KUMBUKA SETILAITI TAKRIBANI 500 ZA NCHI ZA MAGHARIBI ZINATUMIKA KUKUSANYA TAARIFA ZA KIINTELIJESIA DHIDI YA RUSSIA KWENYE ENEO LA MAPIGANO.. NA KATI YA HIZO SETELAITI ZA KIJESHI NI SABINI TUU ILA 470 NI SETELAITI ZA KIRAIA LAKINI ZINATUMIKA KINYUME NA MIKATABA YA KIMATAIFA.
WALITUMIA AKILI YA HALI YA JUU NA TIMING ILIYO PANGWA NA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA.
RUSSIA WALIFANYA UJINGA WA HALI YA JUU.. WAMEFUNZWA KWA GHARAMA KUBWA YA DAMU NYINGI. ONE MISTAKE???