... mkiambiwa askari wa kirusi wana ujinga mwingi kama walivyo wakubwa wao kuanzisha vita ya kipumbavu huwa hamuelewi! Asante kwa ushahidi huu muhimu.Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita.
Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the ban – within the range of enemy weapons” which has allowed Ukrainian forces to trace their coordinates.
Rest in peace.
Hili shambulizi kw Habari hazijawekwa wazi ni moja ya shambulizi baya kabisa kwa adui tena ktk moyo wa vita Yani kama ni ngumi tunasema Ukraine wamempiga ngumi takatifu ya uso Mrusi ambapo ktk vita unatakiwa kuuwa wanajeshi sio raia wakati Mrusi anashambulia miundo mbinu ya Ukraine na majengo na hosp ambapo keshokutwa atakuwa akijibu mashitaka ktk Mahakama za kimataifa Ukraine amekuwa akiuwa wanajeshi wa Urusi na kuharibu miundo mbinu ya kivita ili Mrusi asiwe na mahali pakushitaki kiufupi Mrusi atashindwa vita nakulipa trillion of money kujenga Ukraine. Yani hii vita itawa cost Urusi kwa zaid ya miaka 100++++ stay coolNi kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita...
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi sio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.kutumia smart phone ni kisingizio hata wachenchen walio uawa november sabab walisema ni hii hii.
askar wa ukraine kutwa wapo tiktok na wengine wana page zao kabisa twitter wanaripot ishu za front.
hawa majamaa hawajui kujicoumerflage
... wao wana nyuklia bwana; watatishwa na nani? Nyuklia button iko kwenye briefcase ya Putin popote aendapo anayo; muda wowote mkileta za kuleta atawaonesha yeye ni nani! Pia mjue Urusi zio Zimbabwe hawatishwi na yeyote. Walisikika Kwa Mtogole wakisifu na kuabudu mtu wao.
... baada ya lile pigo kuu la the most venerated Moskva "the best of the best navy vessels in the universe", hili la "zawadi" ya mwaka mpya nalo ni zawadi nzuri sana kwa Fashisti.Hili pigo limekuwa aibu na fedheha kubwa sana kwa urusi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa siyo askari wenyewe ni kama hawa KK security walijitolea walikusanywa mtaani hata kama walipewa caution matumizi ya simu MTU anakwenda chooni kutumiaInakuaje idadi yote hiyo ya askari wanajirundika sehemu moja.
Hebu wataalamu wa mambo haya mtusaidie
Hakika..,hii ni dawa mujalabu kabisa kwa ubabe usiokuwa na muelekeo.., kulikuwa na njia zaidi ya 70 za kumaliza hili suala bila kuanzisha vita,... baada ya lile pigo kuu la the most venerated Moskva "the best of the best navy vessels in the universe", hili la "zawadi" ya mwaka mpya nalo ni zawadi nzuri sana kwa Fashisti.
Wakipata mafunzo ile ilikuwa ni kambi mkuuInakuaje idadi yote hiyo ya askari wanajirundika sehemu moja.
Hebu wataalamu wa mambo haya mtusaidie
Hivi unakumbuka Marekani ilishambulia hospital ngapi kule Syria? Mbona hukulalsmika mkuu? Waafrika tutaendelea kuwa na akili za kinyesi!Hili shambulizi kw Habari hazijawekwa wazi ni moja ya shambulizi baya kabisa kwa adui tena ktk moyo wa vita Yani kama ni ngumi tunasema Ukraine wamempiga ngumi takatifu ya uso Mrusi ambapo ktk vita unatakiwa kuuwa wanajeshi sio raia wakati Mrusi anashambulia miundo mbinu ya Ukraine na majengo na hosp ambapo keshokutwa atakuwa akijibu mashitaka ktk Mahakama za kimataifa Ukraine amekuwa akiuwa wanajeshi wa Urusi na kuharibu miundo mbinu ya kivita ili Mrusi asiwe na mahali pakushitaki kiufupi Mrusi atashindwa vita nakulipa trillion of money kujenga Ukraine. Yani hii vita itawa cost Urusi kwa zaid ya miaka 100++++ stay cool
Hivi unakumbuka Marekani ilishambulia hospital ngapi kule Syria? Mbona hukulalsmika mkuu? Waafrika tutaendelea kuwa na akili za kinyesi!
... kuna comments za ajabu humu hadi inashangaza!kwa hio kama marekani alishambulia hosptal syria ndio inampa haki putin kushambulia hosptal ukraine?
akili za kinyes ndio hizo sasa
Kwani huwa unafuatilia kila anachoandika humu mpaka ujue hakulalamikaHivi unakumbuka Marekani ilishambulia hospital ngapi kule Syria? Mbona hukulalsmika mkuu? Waafrika tutaendelea kuwa na akili za kinyesi!
Naam! Yajayo yanafurahisha zaidi. Fashisti itambidi achuchumae kwani watamvua boxer. 😃 😃 💪😀... baada ya lile pigo kuu la the most venerated Moskva "the best of the best navy vessels in the universe", hili la "zawadi" ya mwaka mpya nalo ni zawadi nzuri sana kwa Fashisti.