Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

Hakuna aliyesalia ili aje kutoa ushuhuda hapa. Kwa hiyo ss sote tunadhani ilikuwa hivi ilikuwa vile. Ila ukweli unabaki pale pale kwamba wamekufa wengi na wamejeruhiwa wengi.
 
Kabisa ni uzembe

Russia anajua wazi anapigana na Nato indirectly. Nato wako bize kuwinda coordinates za wanajeshi wa Russia, halafu wanajiachia hivyo
Yani ukiangalia vyema utagundua jamaa wana deal na kuangamiza wanajeshi na kambi za jeshi tu..
Kama askari wao wangekuwa 79 wasinge kuwa na taharuki kiasi hiki, inaonekana ni wengi sana.
 
Yani ukiangalia vyema utagundua jamaa wana deal na kuangamiza wanajeshi na kambi za jeshi tu..
Kama askari wao wangekuwa 79 wasinge kuwa na taharuki kiasi hiki, inaonekana ni wengi sana.
Huo ndio ukweli kabisa. Hizo takwimu ni za kukisia kwani wapo waliosagika/sambaratika miili yao kiasi cha kutoweza kujulikana ni mtu mmoja au vipi, wapo waliocharangwa kama nyama buchani, waliorushwa kama popcorn, waliofukiwa kwenye kifusi, walioungua na kuwa mkaa au majivu kabisa n.k. Sio kazi rahisi eti leo hii unakuja na exact figure ni 79 na umeshasahau jana ulisema ni 63. Yan uchukue list ya wahudhuriaji (kama itakuwa haikuungulia humo) halafu uite majina -ukiona kimya ujue huyo ni RIP n.k. sio kazi rahisi kivile Asitudanganye hapa.
 
Wengine Bora mkalale,mapro wenyewe wa masuala ya vita tujadili mambo yetu hapa.mnatoa coment ambazo hazina kichwa Wala miguu.
 
Ile kauli ya Zelenskyy kuwa hawatasamehe ni ya kauli ya kisasi sana hao Warusi watakufa kama wadudu wasipoangalia huko...Himars zinatumwa 6 Nne zinapiga target hakuna vita hapo ni vile Dicteta hawafi watoto wake anaona poa tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…