Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Kilicho inyima point 3 police dar dhidi ya simba ndio hicho hicho kitakacho inyima point 3 simba dhidi ya kagera na vice versa is true
 
Naomba kuuliza hapa pale mtu anapochelewa ku submitt claim/complaint chombo husika kinatakiwa ku struck out au ku dismiss hiyo matter ambayo imeletwa out of time...?
 
Kama hulijui vizur hili suala piga kimya brother, Kama uliangalia press conference ya TFF walikiri kuwa ni kweli Fakhi ana kadi tatu za njano
 
Points of facts zimekwisha jadiliwa na kutazamwa na vyombo vya soka vya chini.Fifa ni chombo cha juu cha soka itaangalia points of law na Vifungu vinavyobishaniwa sio points of facts.
 
Upo uwezekano mkubwa mechi ya simba na kagera kurudiwa kwenye neutral ground, kwa kufungwa na mbao jana yanga ubingwa bado upo mezani na huu ndiyo ukweli mchungu!
 
Kilicho wapeleka Simba FiFa sio ubingwa wa Yanga nikutaka kujua kama mchezaj mwenye kadi tatu anaruhusiwa kucheza ambaye pia sio mchezaji wa Yanga sasa nashangaa kuona Yanga ndio wanaolalamika nakupiga kelele Hata kama Fifa watasema Simba apewe point hatanyang'anywa Yanga ni kagera sasa sijuwi Maneno na mapovu ya Yanga yanatoka wapi
 
Simba anazo points 68,Yanga anazo points 68 pia. Serengeti Boys ilikata rufaa na kushinda rufani yake na leo yuko Gabon,ndiyo utaratibu. Ukijichanganya lazima upokwe point tatu. Sasa kama watoa hukumu wenyewe wamejaa Usimba na Uyanga ndo maana unaona huu mkanganyiko,lakini ni straight point tatu Kagera anatakiwa kupokonywa bila ajizi.
Ni dosari kubwa sana kama hili likiachwa. Maana yake team zimepewa ruhusa kuchezesha mtu mwenye red card?
 
Kombe litaletwa! Hii kauli inachekesha sana. Ila ndio hivyo. Kwa gharama yoyote lazima mpewe kombe
 
Acha urongo, Yanga itafute suluhu na wamatopeni?
 
vipi kuhusu police dar dhidi ya simba?
 
Mimi shabiki wa yanga ktk vitu ninavyo shangaa ni simba kutishia tishia wanaenda fifa kwani yanga kawashikia nauli yao si waende kimya kimya alafu tuone kama uningwa watachukua wakati bingwa wa kihisoria ni YANGA tena bila point yoyote ya mezani wala mizengwe
 
Kama hulijui vizur hili suala piga kimya brother, Kama uliangalia press conference ya TFF walikiri kuwa ni kweli Fakhi ana kadi tatu za njano
Nope, iko barua ya hukumu waliyopewa Simba humu humu jf. Mengine yote ni uzushi wa mezani fc
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mikia wanadhani FIFA itaenda kuangalia mambi ya ushahidi.... mfano eti kweli kadi zilitolewa au hazikutolewa. Hiyo haipo kabisa, haima utaratibu kama huo. Cha kutazama hapo ni kama sheria zilifuatwa.
Huelew
 
We jamaa muongo sana kweli simba haitaki ubingwa inafanya mazungumzo na wakati jana yule tapeli wenu kawaonyesha waandishi wa habari kielelezo kuwa barua au rufaa yao imepokelewa au unataka tuamini maneno ya RAGE kuwa Simba ni mbumbumbu?!!

Umeshamaliza ili nami nikupe jibu lako mujarab kabisa?
 
Mkuu unamaanisha kweli 80s ama unamtishia tu jamaa? Nasomaga threads zako kimaudhui zinacontradict na umri wa mtu kuweza kuwa na uaezo wa kufuatilia mpira mid 80s. I mean some of your threads' contents are younger than your age!! Amazing!

Consult your Mum probably She can tell you more about Me.
 

Tangia lini Yanga FC mkawa na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…