pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Nimeshangaa anaejifanya mjuvi wa mambo hajui tofauti ya yanga fc na yanga sc hakuna timu Tz inaitwa yanga fc. Kweli huyu jamaa ni bashite haswa.Yanga FC hawawezi kuwa na akili hata kidogo ila Yanga SC wanazo za kutosha!!
Huyo si aveva ni dogo mmoja kamaliza uandishi wa habari saut juzijuzi.
Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
mkuu, punguza povu sasa hivi....utalihitaji sana pale FIFA watakapofanya vitu vyao.Huko shule huwaga mnaenda kusomea ujinga?
Amekuwambia nani kuwa Bingwa wa LIGI KUU anapatikana kwa kushinda Mechi ya mwisho tu?
Ebu tumieni akili enyi watu wenye ngozi nyeusi.
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
safi ila report ya Refa hakuna
Sasa tumuamini yupo nyinyi wa matopeni fc c mnasema rufaa mmeshapeleka tayari!Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
safi ila report ya Refa hakuna
We umeitowa wap kadi zote za ligikuu tff walisema simba ilichelewa kukata rufaa na hawakulipa ada lkn kadi 3 anazoAs a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
Aaah ulianza vizuri lkn kumbe na wewe ni mama ntilie wa msimbazi.... Aaah ni pointless tupu km kawaida yenu wazee wa mchanganiSiku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Akili za watu wa Simba ni kama akili za Maalim Seif
Kumbe na wewe ni Simba !!
Mkuu GENTAMYCINE, nitakuwa wa mwisho kuamini eti club inaweza kuingia kwenye mazungumzo yanayopelekea ikubali kuachia ubingwa ulioko mezani...Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Mkuu GENTAMYCINE, nitakuwa wa mwisho kuamini eti club inaweza kuingia kwenye mazungumzo yanayopelekea ikubali kuachia ubingwa ulioko mezani...
Nazani ww ndo ziro kabisa ushaona wp nikawa na mapatano Kati ya bingwa na mshindwaji tena kwakutaka point za mezani ukiwa mjinga basi jitahdi angarau uwe mpumbavu eti mazungumzo au ndo kujifaliji huko kama sefu kusema atapewa urais as visiwa vya Zanzibar jinga kabisa nyie bado mnaota kombe?hilo lisha kwenda lbd mzungumze na jamaa yenu mbao ili awaachie,hilo jengine c lenu.Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Wa kuaibika nani sisi nyie!kazi kwelikwelimajitu mazima na manywele matakoni yanalilia point za mezani aibu sana.Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Kama matokeo ni Uwanjani Point za Mezani za Serengeti Boys Tff ilienda kuzidai za nini?Matokeo ni uwanjani acheni kulia chezeni mpira, ni dhambi kutamani cha mwenzio, hizo point ni za Kagera Sugar
Sasa na wewe umeandika nini kama siyo ushabiki wa Simba inawezaje kukata rufaa fifa kabla cafSiku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Simba damu.Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.