Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Yanga FC hawawezi kuwa na akili hata kidogo ila Yanga SC wanazo za kutosha!!
Nimeshangaa anaejifanya mjuvi wa mambo hajui tofauti ya yanga fc na yanga sc hakuna timu Tz inaitwa yanga fc. Kweli huyu jamaa ni bashite haswa.
 
Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.

Nenda kakinukishe tuone, kufungwa mfungwe nyinyi makelele mpige nyinyi vidume vyenu vipo kimya, vilishawafanya mbaya vikatulia eti udhamini wa sport pesa oooh sijui suluhu yote hii ni kuwadanganya wanachama wenu miaka minne na mbwembwe zoooote za kumuondoa Ismail mmeangukia pua
 
Huko shule huwaga mnaenda kusomea ujinga?

Amekuwambia nani kuwa Bingwa wa LIGI KUU anapatikana kwa kushinda Mechi ya mwisho tu?

Ebu tumieni akili enyi watu wenye ngozi nyeusi.
mkuu, punguza povu sasa hivi....utalihitaji sana pale FIFA watakapofanya vitu vyao.

mimi Yanga lakini si mbu-mbu-mbu wa facts!
 
nendeni FIFA mkapewe kombe la dunia lkn kma VPL wanalo TFF na washa wakabidhi yanga
 
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti

untitled-jpg.512902
 
Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    30.1 KB · Views: 56
safi ila report ya Refa hakuna

report ipo ya refa. ila TFF wakaamua kuwauliza watu mbalimbali kama kweli waliona refa akitoa kadi. kanuni hii inatambua maamuzi ya refa ndo ya mwisho. so hakukuwa na sababu ya kuhoji mchezaji au vibendera
 
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
We umeitowa wap kadi zote za ligikuu tff walisema simba ilichelewa kukata rufaa na hawakulipa ada lkn kadi 3 anazo
 
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Aaah ulianza vizuri lkn kumbe na wewe ni mama ntilie wa msimbazi.... Aaah ni pointless tupu km kawaida yenu wazee wa mchangani
 
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Nazani ww ndo ziro kabisa ushaona wp nikawa na mapatano Kati ya bingwa na mshindwaji tena kwakutaka point za mezani ukiwa mjinga basi jitahdi angarau uwe mpumbavu eti mazungumzo au ndo kujifaliji huko kama sefu kusema atapewa urais as visiwa vya Zanzibar jinga kabisa nyie bado mnaota kombe?hilo lisha kwenda lbd mzungumze na jamaa yenu mbao ili awaachie,hilo jengine c lenu.
 
Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Wa kuaibika nani sisi nyie!kazi kwelikwelimajitu mazima na manywele matakoni yanalilia point za mezani aibu sana.
 
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Sasa na wewe umeandika nini kama siyo ushabiki wa Simba inawezaje kukata rufaa fifa kabla caf
 
Simba damu.
 
Back
Top Bottom