Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.
Rubbish of the year, Magufuli will remain my hero forever
 
Usipende kumlinganisha Nyerere na vitu visivyo faa
Nisinlinganishe katika nini? unatakiwa useme maana mimi kwa imani yangu nachojua ni Mungu pekee ndio alinganishwi na chochote ila Nyerere alikuwa binaadamu na Magufuli pia alikuwa binaadamu, sasa unaanzaje kusema nisiwafananishe bila kusema nisiwafananishe katika nini? Mimi nimeeleza Magufuli ni kama Nyerere kwa kutajwa sana hakuna mwengine anayetajwa sana kama Nyerere isipokuwa Magufuli tu.
 
Hata Samia naye ni legacy ya Magufuli. Suala la kusifu au kutosifu halina uhusiano wowote na haiba ya mtu. JPM alisifiwa kwa sababu kazi alikuwa anapiga kweli kweli. Kazi nzuri haijifichi Samia naye akifanya vizuri atasifiwa tu.
 
Nisinlinganishe katika nini? unatakiwa useme maana mimi kwa imani yangu nachojua ni Mungu pekee ndio alinganishwi na chochote ila Nyerere alikuwa binaadamu na Magufuli pia alikuwa binaadamu, sasa unaanzaje kusema nisiwafananishe bila kusema nisiwafananishe katika nini? Mimi nimeeleza Magufuli ni kama Nyerere kwa kutajwa sana hakuna mwengine anayetajwa sana kama Nyerere isipokuwa Magufuli tu.
Magufuli ametajwa sana katika kipindi gani? Na wapi? Ndio hapo umlinganishe na Nyerere ukipata majibu
 
Hii inaonesha kwamba utendaji wa Magufuli ni wa kuwajuza wananchi nini serikali inafanya
Kwa hiyo unaona sifa habari kwenda kuipata benki kuu ya Uganda
Kuna kuwajuza ambapo Rais Samia anafanya ipasavyo na kuna kusifu na kuabudu. Aliyepita aliwekeza kwenye kusifu na kuabudu
 
Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.
Siku za ushamba zimepita na tulidanganywa na kutishwa sana.
 
Bado unademka na mama!!!! Sisi tunalia na tozooooo!
 
Ntaomba nijibu no 2.
Kuna barabara chungu mzima zenye thamani ya zaidi ya 600B chini ya DMDP uliona wapi JPM akitia saini? Bamaga pale kuna barabara 4ways yenye thamani zaidi ya alichosaini mkuu wa mkoa jana ht jiwe la msingi haina, Mwenge Morocco katafte jiwe la msingi km utaliona let alone mkataba kusainiwa, nenda mwendokasi ya Mbagala. tukianza hii biashara ya miradi tutakua hatumalizi...
Kifupi Mwamba ana miradi chungu tele hakuwahi kuweka ht jiwe la msingi, VP now ndo anahangaika kwenda kuweka jiwe na msingi wakati miradi ishakwisha...[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom