Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.
Ukichimba kisima cha maji vizuri na kutengeneza miundombinu mizuri sharti maji yapite na kuwafikia watu ambao walengwa , eti sasa mnajidai kumsahau mchimba kisima na kuweka miundo mbinu
 
Hivi huu Ndio umbumbumbu au upungu!?
Mwenye shamba analima na kupanda, anatunza mazao yake na muda mfupi kabla ya kuvuna anafariki! Mrithi wake anapokuja kuvuna mazao mengi jasho la aliyefariki...ww mrithi unaanzaje kujisifu kuwa ww ni mchapakazi pasipo kumshukuru na pia kumsifu hayati kwa kazi nzuri iliyotukuka inayokufanya kwa sasa ule mpaka uvimbiwe🤔!?

SSH anajua fika mafanikio yanayopatikana ni zao la jasho lililotukuka la Mh. Dr. JPM, ndio maana hawezi kujitwalia utukufu huo maana anamjua mwenye nao!
May your precious soul rest in peace and power our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏 amen!

Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu. Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao. Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi. 2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla. Mfano wa haya ni kama ifuatavyo. Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam. Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii. Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia. Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi. Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake. Hongera Rais Samia.
 
Haipiti siku JPM hajaongelewa

Kuna alama ameiacha ndo maana hakauki midomoni mwa wengi iwe kwa wema au ubaya

Pumzika salama raisi wangu,binafsi nilikukubali sana[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
JPM [ Man and ahalf]

tunaweza subiri hata miaka mingine 60 ili tu nchi ipate jembe la aina ile

rest easy legend
 
Mtangulizi wake aliwaponda watangulizi wake, kwa kusema hadharani kuwa hawakufanya kitu chochote kwa miaka karibu 50 ya Uhuru wa Tanzania na baadhi ya miradi ya watangulizi wake kusitishwa licha ya uwekezaji mkubwa ambao uliofanywa kwenye miradi,mfano mradi wa gesi Mtwara nk
 
Mbona mnatumia nguvu kumnadi wakati agombei tena....
 
Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.
Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.
RIP JPM.. Kila wakitaka kujilinganisha wanaishia Maneno tu.

Huku mtaani hata yale matumaini ya kuletewa Barabara na Maji vimefutika kabisa.
 
Mtaani kupi?? Watu wanasaini mikataba ya ujenzi wa barabara saivi wewe umekalia tantalila
 
Haipiti siku JPM hajaongelewa

Kuna alama ameiacha ndo maana hakauki midomoni mwa wengi iwe kwa wema au ubaya

Pumzika salama raisi wangu,binafsi nilikukubali sana[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Kaacha kweli alama si mchezo, sidhan kama kimara au Lissu atamshahau huyo mwendazake hivi karibuni
 
Mtu kashafariki bado mnamuongelea tu!! kwa taarifa yako huyu mwamba afananishwi na rais yeyote na ni bora kuliko wote.. kama unajidanganya tutamsahau au tutakuwa wanafki tuanze kumsifu mama yako Pole sana .
Huyo mwamba wako hakufaa hata kuongoza familia, ndiyo mana kama una kumbukumbu hata familia ilikuwa ishamshinda.
 
Msitupigie kelele sasa huku JF mwacheni mama amshugulikie gaid nguli nchi hii
 
Tuko wengi kama wewe Shibela. Alale kwa amani. Maisha yake yalikuwa zawadi kwetu watanzania.
Acha kutusemea wew, semea familia yako na nafsi yako tu, wengine huyo jamaa yako....bas tu kwa kuwa kaisha enda motoni tumwache tusije nasi tukaenda huko
 
Miaka yote aliyokaa magufuli hatukuwahi kufikia bei ya petroli 2,500. Baada yakufa tu magufuli bei imekua ikipanda kila mwezi
Mwamba Magufuli alikua na miradi mikubwa ya gharama kubwa lakini kamwe hakututoza sisi maskini tozo zakishenzi kama hizi za sasa
Unajua kakopa kiais gani?
 
JPM alifanya mengi mazuri na yalikuw yanaonekana hata bila promo za wanahabari tena kwa mda mfupi ndio maan wanaharakati wengi walijitokeza kumsupport kwa nguvu zao zote
 
Amani iwe nanyi wanabodi

Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa

1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.

Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania kuipiku Kenya kuingiza bidhaa Uganda. Kama wote mmeona juzi bank kuu ya Uganda imetoa Takwimu kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuingiza bidhaa Uganda ikiipiku Kenya. Kama takwimu hizi zingetolewa kipindi cha JPM hadi sasa Msemaji wa Serikali angekuwa ameshaita press conference kulisema, Mataga nao wangekuwa wameshatengeneza picha kibao na zinasambaa kwenye mitandao, huku Gerson Msigwa nae akiwa anapost kwenye page yake na vijembe kibao.

Kwa upande mwingine Musiba na Magazeti yake wangekuwa wameshaandika nakala kibao kwenye magazeti yao na kumsifia JPM Kama JPM na wala sio CCM wala serikali. Bila kusahau vipindi vya TBC na Channel kuongelea hili Kwa kirefu zaidi.

2. Kuna kazi kubwa inafanywa kwenye miradi Ila Samia hapendi kuchukua sifa yeye Kama yeye bali kwa Serikali kwa ujumla.

Mfano wa haya ni kama ifuatavyo.
Jana Mkoa wa Dar es Salaam wamesaini mikataba kupitia tarula na wakandandari kujenga na kukarabati barabara za Maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ingekuwa kipindi cha JPM mikataba hii ingesainiwa Ikulu huku kukiwa na live coverage na mbele ya JPM peke yake. Ili siku ya mwisho sifa zirudi kwake kuwa yeye ndo ametoa hizo hela huku Paul Makonda akitoa sifa kem kem na kumfananisha JPM na Mtume au Nabii.
Ila chini ya Samia, Mkataba huu umesainiwa na Mkuu wa Mkoa tena bila hata Live coverage. Samia anataka kuonesha serikali inafanya kazi ila JPM alikuwa anataka kuonesha kuwa yeye ndo anafanya kazi. Kusaidiwa kwa Mkataba huu ni matunda yalioanza kuonekana na tozo ya miamala ambayo pesa zake ndo zinaenda kujenga hizi barabara kupitia Tarula Ila hatuoni majigambo haya kwa Samia.

Mwisho wa mfano kwenye hili jambo la pili ni Bandari ya Tanzania kupokea meli kubwa sana iliyoingiza mizigo ambayo asilimia 65 inaenda nchi za jirani. Ingekuwa kipindi cha JPM jambo hili pia lingefanywa kwa live coverage na sifa zote zingemrudia JPM kuonesha idadi ya mizigo kwenda nje kupitia Bandari yetu imeongezeka. Ila kwa Samia wala hili tukio halikuwa na live coverage na hakukuwa na mapambio ya kusifu na kuabudu kwake Samia Kama amekuwa Nani au mwokozi.

Mwisho napenda kusema kwa uchunguzi wangu mdogo, Samia anafanya mambo makubwa sana ila kimya kimya huku akiwa hataki sifa zirudi kwake binafsi tofauti na Mtangulizi wake ambae hata kwa madogo aliyokuwa akifanya sifa alitaka zirudi kwake binafsi. Anaendelea kutoa hela Bwawa la Nyerere na ujenzi unaendelea, anaendelea kutoa hela kwa wakandarasi wa barabara na reli na zinajengwa sana Kama inavyoonekana kule Mji wa Serikali Mtumba na Pia Kwenye reli ya umeme ila huyu mama hataki na hapendi sifa kwake binafsi bali kwa Chama chake na serikali yake.

Hongera Rais Samia.

Mkuu. Jana imeleta Leo. Hayo uyaonaye Leo yanawezekana kwa sababu ya Jana.
 
Mtangulizi wake aliwaponda watangulizi wake, kwa kusema hadharani kuwa hawakufanya kitu chochote kwa miaka karibu 50 ya Uhuru wa Tanzania na baadhi ya miradi ya watangulizi wake kusitishwa licha ya uwekezaji mkubwa ambao uliofanywa kwenye miradi,mfano mradi wa gesi Mtwara nk
Mtangulizi wa Dr. JPM (Mungu aiweke pema peponi roho yake, amen), JK alikuwa mvivu, hakulima shamba wala kuyatunza maotea...bali aliamua kuwa ombaomba ili familia ile! Alikatiza akizurula kutoka kona moja mpaka nyingine akipitisha bakuri! Hakuwa na soni maana misibani aliomba na kwenye sherehe aliomba pia! Alipomurithisha JPM, shamba lilikuwa lishakuwa shamba pori! Nguruwe wanaingia na kuishi, nyani nao ndio makao yao! Hakukuwa na chakula cha kutosha hata kula mwezi mmoja!
Kwa hasira za kuchukia tabia ya kimatonya, Mh. Dr. JPM aliamua kung'oa mazalia na visiki vyake na kulima na kupanda mbegu upya...na kwa jitihada za kutukuka alishinda shambani bila kuzurula huku na kule, lengo likiwa moja tu...kuhakikisha mazao yanatunzwa vizuri😜! Kwa bahati mbaya alifariki kabla ya kuyavuna na hapo ndipo SSH alipo sasa, anavuna mazao kwa wingi...chukia kataa... ukweli utabaki kuwa ukweli...na msema kweli Mungu anampenda zaidi🤔!
 
Haipiti siku Kwa sababu Samia anafanya mazuri na makubwa
kwani kuna ubaya gani lord!

Maadam wote wanafanya kitu kwa watz basi heko kwao.

Umekiri hadharani kwamba wote huwaletea watu maendeleo ila wanatofautiana kihaiba ktk kuwaletea watz hayohayo maendeleo.

Mijadala mingne bwana!
 
Back
Top Bottom