Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Rubbish of the year, Magufuli will remain my hero forever
 
Usipende kumlinganisha Nyerere na vitu visivyo faa
Nisinlinganishe katika nini? unatakiwa useme maana mimi kwa imani yangu nachojua ni Mungu pekee ndio alinganishwi na chochote ila Nyerere alikuwa binaadamu na Magufuli pia alikuwa binaadamu, sasa unaanzaje kusema nisiwafananishe bila kusema nisiwafananishe katika nini? Mimi nimeeleza Magufuli ni kama Nyerere kwa kutajwa sana hakuna mwengine anayetajwa sana kama Nyerere isipokuwa Magufuli tu.
 
Hata Samia naye ni legacy ya Magufuli. Suala la kusifu au kutosifu halina uhusiano wowote na haiba ya mtu. JPM alisifiwa kwa sababu kazi alikuwa anapiga kweli kweli. Kazi nzuri haijifichi Samia naye akifanya vizuri atasifiwa tu.
 
Magufuli ametajwa sana katika kipindi gani? Na wapi? Ndio hapo umlinganishe na Nyerere ukipata majibu
 
Hii inaonesha kwamba utendaji wa Magufuli ni wa kuwajuza wananchi nini serikali inafanya
Kwa hiyo unaona sifa habari kwenda kuipata benki kuu ya Uganda
Kuna kuwajuza ambapo Rais Samia anafanya ipasavyo na kuna kusifu na kuabudu. Aliyepita aliwekeza kwenye kusifu na kuabudu
 
Siku za ushamba zimepita na tulidanganywa na kutishwa sana.
 
Bado unademka na mama!!!! Sisi tunalia na tozooooo!
 
Ntaomba nijibu no 2.
Kuna barabara chungu mzima zenye thamani ya zaidi ya 600B chini ya DMDP uliona wapi JPM akitia saini? Bamaga pale kuna barabara 4ways yenye thamani zaidi ya alichosaini mkuu wa mkoa jana ht jiwe la msingi haina, Mwenge Morocco katafte jiwe la msingi km utaliona let alone mkataba kusainiwa, nenda mwendokasi ya Mbagala. tukianza hii biashara ya miradi tutakua hatumalizi...
Kifupi Mwamba ana miradi chungu tele hakuwahi kuweka ht jiwe la msingi, VP now ndo anahangaika kwenda kuweka jiwe na msingi wakati miradi ishakwisha...[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…