Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Kwa Mwendazake alivyokuwa amepandikiza Sumu inabidi serikali itoke kuwaeleza wananchi japo sie wengine tunaona mambo yanaenda vizuri sana .

Mwendazake alikuwa Mzee wa propaganda sifa na vitisho hatari sana
 
We jamaa ni clinical Thinker Bravo for you buddy
 
Umejibu kwa roho ya ucha mungu sana
 
Miaka yote aliyokaa magufuli hatukuwahi kufikia bei ya petroli 2,500. Baada yakufa tu magufuli bei imekua ikipanda kila mwezi
Mwamba Magufuli alikua na miradi mikubwa ya gharama kubwa lakini kamwe hakututoza sisi maskini tozo zakishenzi kama hizi za sasa
 
Uchochezi tu sasaunachotaka kusema ni kwamba jpm was failure au unataka kutuaminisha nini huu ni umbea watu wengine huwa wanatoa maoni wakiwa wamepata faru john... Shida tu.. JPM ni mshine nyingine halinganishwi hovyohovyo hivyo
 
Umesahau kuongelea suala kupanda kwa sukari na mafuta kipindi cha Mékō.
 
Kwani Wasukuma wenzangu wanasemaje? Yaani huyu hapendwi huku kanda pendwa!
 
Umesahau kuwa wote ni wana CCM
 
Hiyo ndio kazi ya tarura kujenga Barabara ulitaka wakaange mandazi.

Hiyo meli haijaja kwa matakwa ya serikali ni wingi magari ya waagizaji magari nchi za africa ndio umefanya ije meli kubwa haihusiani na serikali wala samia.

Samia tumpime kwa huduma za moja kwa moja za mwananchi wa kawaida;

Vipi Gharama za miamala ya simu ?

Vipi Bei ya mafuta ya kula ?

Vipi Bei ya mafuta ya Petrol ?

Bei ya mbolea ?


Hivyo vote vimepanda Bei utasemaje amekuwa Genius wakati Core service kwa mwanachi wa kawaida zimepanda!


Kwa taarifa yako tangu Samia ameingia madarakan Mfumuko wa bei kila mwezi unaoanda kutoka 3.3% mwezi April Hadi 3.8% mwezi August.
 
Wewe ndo umekubali tozo? Au ndiyo maana anasingiziwa Mwigulu yeye mnamuacha?
 
Haipiti siku JPM hajaongelewa

Kuna alama ameiacha ndo maana hakauki midomoni mwa wengi iwe kwa wema au ubaya

Pumzika salama raisi wangu,binafsi nilikukubali sana[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Mliwahi lazwa wote kwenye ile hospital ya Dodoma?
 
Uko Zama zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…