Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Ukichimba kisima cha maji vizuri na kutengeneza miundombinu mizuri sharti maji yapite na kuwafikia watu ambao walengwa , eti sasa mnajidai kumsahau mchimba kisima na kuweka miundo mbinu
 
Hivi huu Ndio umbumbumbu au upungu!?
Mwenye shamba analima na kupanda, anatunza mazao yake na muda mfupi kabla ya kuvuna anafariki! Mrithi wake anapokuja kuvuna mazao mengi jasho la aliyefariki...ww mrithi unaanzaje kujisifu kuwa ww ni mchapakazi pasipo kumshukuru na pia kumsifu hayati kwa kazi nzuri iliyotukuka inayokufanya kwa sasa ule mpaka uvimbiwe🤔!?

SSH anajua fika mafanikio yanayopatikana ni zao la jasho lililotukuka la Mh. Dr. JPM, ndio maana hawezi kujitwalia utukufu huo maana anamjua mwenye nao!
May your precious soul rest in peace and power our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏 amen!

 
Haipiti siku JPM hajaongelewa

Kuna alama ameiacha ndo maana hakauki midomoni mwa wengi iwe kwa wema au ubaya

Pumzika salama raisi wangu,binafsi nilikukubali sana[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
JPM [ Man and ahalf]

tunaweza subiri hata miaka mingine 60 ili tu nchi ipate jembe la aina ile

rest easy legend
 
Mtangulizi wake aliwaponda watangulizi wake, kwa kusema hadharani kuwa hawakufanya kitu chochote kwa miaka karibu 50 ya Uhuru wa Tanzania na baadhi ya miradi ya watangulizi wake kusitishwa licha ya uwekezaji mkubwa ambao uliofanywa kwenye miradi,mfano mradi wa gesi Mtwara nk
 
Mbona mnatumia nguvu kumnadi wakati agombei tena....
 
RIP JPM.. Kila wakitaka kujilinganisha wanaishia Maneno tu.

Huku mtaani hata yale matumaini ya kuletewa Barabara na Maji vimefutika kabisa.
 
RIP JPM.. Kila wakitaka kujilinganisha wanaishia Maneno tu.

Huku mtaani hata yale matumaini ya kuletewa Barabara na Maji vimefutika kabisa.
Mtaani kupi?? Watu wanasaini mikataba ya ujenzi wa barabara saivi wewe umekalia tantalila
 
Haipiti siku JPM hajaongelewa

Kuna alama ameiacha ndo maana hakauki midomoni mwa wengi iwe kwa wema au ubaya

Pumzika salama raisi wangu,binafsi nilikukubali sana[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Kaacha kweli alama si mchezo, sidhan kama kimara au Lissu atamshahau huyo mwendazake hivi karibuni
 
Mtu kashafariki bado mnamuongelea tu!! kwa taarifa yako huyu mwamba afananishwi na rais yeyote na ni bora kuliko wote.. kama unajidanganya tutamsahau au tutakuwa wanafki tuanze kumsifu mama yako Pole sana .
Huyo mwamba wako hakufaa hata kuongoza familia, ndiyo mana kama una kumbukumbu hata familia ilikuwa ishamshinda.
 
Huyo mwamba wako hakufaa hata kuongoza familia, ndiyo mana kama una kumbukumbu hata familia ilikuwa ishamshinda.
Msitupigie kelele sasa huku JF mwacheni mama amshugulikie gaid nguli nchi hii
 
Tuko wengi kama wewe Shibela. Alale kwa amani. Maisha yake yalikuwa zawadi kwetu watanzania.
Acha kutusemea wew, semea familia yako na nafsi yako tu, wengine huyo jamaa yako....bas tu kwa kuwa kaisha enda motoni tumwache tusije nasi tukaenda huko
 
Unajua kakopa kiais gani?
 
JPM alifanya mengi mazuri na yalikuw yanaonekana hata bila promo za wanahabari tena kwa mda mfupi ndio maan wanaharakati wengi walijitokeza kumsupport kwa nguvu zao zote
 

Mkuu. Jana imeleta Leo. Hayo uyaonaye Leo yanawezekana kwa sababu ya Jana.
 
Mtangulizi wa Dr. JPM (Mungu aiweke pema peponi roho yake, amen), JK alikuwa mvivu, hakulima shamba wala kuyatunza maotea...bali aliamua kuwa ombaomba ili familia ile! Alikatiza akizurula kutoka kona moja mpaka nyingine akipitisha bakuri! Hakuwa na soni maana misibani aliomba na kwenye sherehe aliomba pia! Alipomurithisha JPM, shamba lilikuwa lishakuwa shamba pori! Nguruwe wanaingia na kuishi, nyani nao ndio makao yao! Hakukuwa na chakula cha kutosha hata kula mwezi mmoja!
Kwa hasira za kuchukia tabia ya kimatonya, Mh. Dr. JPM aliamua kung'oa mazalia na visiki vyake na kulima na kupanda mbegu upya...na kwa jitihada za kutukuka alishinda shambani bila kuzurula huku na kule, lengo likiwa moja tu...kuhakikisha mazao yanatunzwa vizuri😜! Kwa bahati mbaya alifariki kabla ya kuyavuna na hapo ndipo SSH alipo sasa, anavuna mazao kwa wingi...chukia kataa... ukweli utabaki kuwa ukweli...na msema kweli Mungu anampenda zaidi🤔!
 
Haipiti siku Kwa sababu Samia anafanya mazuri na makubwa
kwani kuna ubaya gani lord!

Maadam wote wanafanya kitu kwa watz basi heko kwao.

Umekiri hadharani kwamba wote huwaletea watu maendeleo ila wanatofautiana kihaiba ktk kuwaletea watz hayohayo maendeleo.

Mijadala mingne bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…