Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

Aaah ongezea mwezi wa sita na wa saba watumishi walibadilishiwa ngazi za mishahara.....sasa hivi akina Jenista Mhagama na Polepole na Mzee Mkuchika wangekuwa wamesha tengeneza beti za kutosha juu ya hilo.... Nampenda sana mama Samia Suluhu Hassan yuko vyema mnoo
 
Mama anaupiga mwingi mno
 
Jasho gani la JPM??

kwani JPM aliikuta hii nchi haina barabara? Haina umeme?? Haina maji??? Haina nyumba?? Acheni upuuzi wenu
 
Ni kweli Mama hawezi kujisifia nayo kwasababu anajua ni misingi bora iliyowekwa na JIWE ndio inayofanikisha hayo.
 
MHHHHHH> UMETUMWA??? Let MH. Magufuli Alone. Nyie endeleeni kwano OUTPUT inajificha ,bona easy tu. Mwacheni yeye kafanya yake makubwa yanaonekana fanyeni yenu tuyaone,Period!
 
Kitu gani cha pekee kaanzisha tangu achukue madaraka ya uraisi?
 
Kwa taadhima, nitangulize salaam. Naam!
Jibu :#1
Sijui una lala vipi huku ukijuwa wewe ndio mpambio na msifu, Utakuja kuabudu. hata Hayati Raisi Mpendwa, Jasiri, Jeuri, John Pombe Magufuli hakuyafanya yote bali pia kwa nguvu za kama Kina Musiba, wewe una tofauti gani?
Jibu:#2

Kwa uhakika hujasoma zile nyuzi za sijui 100 days(aibu tupu kuiga na hata kutumia siku 100)misifa tupu

Amani
 

Sifa zingine mpaka mama mwenyewe anaona aibu kuambiwa, eti miradi!.
Heri ungejikita tu anayoyaweza ya Uhuru wa vyombo vya habari,50/50
Kubadilika badilika,tabasamu,cheupe hapo sukuma gang wako tayari kufunga zizi kumpata cheupe.
 
Punguza makasiriko!

Wacha kutukana watu!

Lugha chafu hazikusaidii chochote....

Sent from my P00C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…