Siku hizi Marekani na Canada wanaobeba hizo ni LGBTQ.Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.
Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966
Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.
Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
🤣🤣🤣 nakuchukulia 15 plussehemu ya malipo baada ya kupalilia nichukulie iPhone 16 Pro max ya 512GB..
haya ndio maneno sasa, hata shambani nitalala sasa..🤣🤣🤣 nakuchukulia 15 plus
Kazuriii
hasa mademu.Na wengi wanaotumia iPhone Africa hawajuwi matumizi yake, wengi wanatumia kwa kujionyesha kuwa wanayo na kupiga picha tu, very stupid of them.
simu ni nzuriiphone na samsung zile high end si kwa hohehahe ila ili kujipa moyo ndiyo kauli za kuzipondea husemwa.
Huyo alie kuoa infinix au itel nae alikudharau sana😂😂 flagships android ziko kibao, samsung, xiomi,oneplus,LGs, sony akishindwa sana oppo series za rennoHizi simu zina addiction, nimejionea mwenyewe. Kama mtu ako na pesa ajipatie kitu moyo unapenda.
Nilipoteza simu, nikapewa infinix ile sijui ilikuwa ni itel na bro. Nikawa naona mauza uza tu yan, kifupi ilinishinda nikamrudishia bro.
Ni kama mtu aliyezoea kudrive SUV afu mje mumpe vits, ataona km kadumbukia shimoni.
Sema dada zetu wanapataga tabu sana hapo seputemba ni kivumbi na jasho😂😂If it works, don't change it. Watumiaji wataupgrade kama kawaida yao
tajiri inabidi uanze tumia manukato ya gucci.. og kabisa.. hizo copy wabaki nazo tunao tumia techno phantomsimu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?
Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
Tupo na camon 40 sasa hivi😂
Sisi wa tecno camon 20 tunacomment wapi
As you judge it.Huyo alie kuoa infinix au itel nae alikudharau sana😂😂 flagships android ziko kibao, samsung, xiomi,oneplus,LGs, sony akishindwa sana oppo series za renno
Hayasaidii ktk mchicha hayotajiri inabidi uanze tumia manukato ya gucci.. og kabisa.. hizo copy wabaki nazo tunao tumia techno phantom
hii ni sawa na ile 'sizitaki mbichi hizi', lazima tukubali kuwa si kila kitu kwa kila mtu na si kila mtu wa kila kitu.simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?
Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
Ni sawa na galaxy S23 na S24 hakuna tofautiTokea Iphone 14 Pro Max hadi sasa hiyo Iphone 16 Pro Max hakuna changes kwenye shape na size ya nje, kimuonekano ni sawa, labda colors tofauti tu na some softwares advancement kidogo, ndio hivyo ukiwa na Iphone 14 Pro Max huna haja ya kununua Iphone 16 Pro Max, hakuna haja kabisa