Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

Lakini si mnajua hao wasanii ndiyo hutumika kuwapigia Kampeni Viongozi wetu kutokana na influence yao kwenye mitandao ya Kijamii.

Mambo ya 2025 yamekaribia

Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta Chini 😜 🙌
 
CCM inatumia matapeli wote inayowapata
1. Mpira hasa Yanga na Simba
2. Dini hasa hawa ''manabii wa kisasa''
3. Hawa wasanii magumashi wasio na uwezo wowote wa usanii
 
CCM inatumia matapeli wote inayowapata
1. Mpira hasa Yanga na Simba
2. Dini hasa hawa ''manabii wa kisasa''
3. Hawa wasanii magumashi wasio na uwezo wowote wa usanii
Ipo haja ya kwenda Kuongeza Mke Kenya ili kuja kupata Uzao wa Kijasiri miaka 30 ijayo.

Sisi Uzao wa Nyerere tumeonesha hatuna ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kwenye boksi la Kura
 
Back
Top Bottom