FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza Mkuu.Lakini si mnajua hao wasanii ndiyo hutumika kuwapigia Kampeni Viongozi wetu kutokana na influence yao kwenye mitandao ya Kijamii.
Mambo ya 2025 yamekaribia
Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta Chini 😜 🙌
Hii Nchi tunashida ya adui wawili wakubwa kati ya wale maadui watatu aliosema Mwl Nyerere wa Maradhi, Umasikini na Ujinga.Umemaliza Mkuu.
Hilo ndio lengo kuu.
Una mwanasheria?Lakini si mnajua hao wasanii ndiyo hutumika kuwapigia Kampeni Viongozi wetu kutokana na influence yao kwenye mitandao ya Kijamii.
Mambo ya 2025 yamekaribia
Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta Chini 😜 🙌
Nyonzooo nyonzooo maamaee Nyonzo bin mvule Israel FOREVER whether you like it or not.Anaupiga mwingi kwa kweli.
Koh Koh Koh ...........Una mwanasheria?
Nchi ya sanaa hao madoctor wamejaa mtaani no ajira,walimu ndio usiseme ila ujinga mara nyingi ndio unahela nyingi sn kuliko serious work and nirasihi kuufanya bila gharama kubwaMambo mengine sijui yanafanyika kwa maslahi gani.
Mbona hapeleki manesi,walimu,polisi na migambo wakaenda kula maisha ughaibuni. Hata wanaitwa nchi wahisani nawashangaa kuwezesha watu wanaofuja rasilimali
Shida kwa mfumo tulionaswa na IMF na World Bank, inaasababisha tozo na kodi kubwa kiasi inashindikana kuanzisha enterprise na zikakuwa kubwa.., ni lazima tujinasue kwanza kwenye mtego wa IMF na World BankWaambiwe Korea haikuendelea kwa blah blah na umati wa jobless + machawa, Korea iliendelea kwa watu kufanya kazi kwa bidii kwa jasho na damu na sacrifice kubwa sana.
Kufanya kazi kwa bidii ndio kulileta Samsung, Hyundai, Ship buildings yards za kutosha nk na mwisho wa siku watu Bora wenye uchumi mzuri.