macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu ni elimu. Trust me. Na usiniambie eti mbona tuna vyuo vikuu vingi. Elimu ya Bongo haina kiwango. Inajaza watu ujinga badalaya kuwaelimisha. Watu hawawezi kufikiri rationally. Watu hawajui matatizo yao yanatokana na nini. Na kingine ni uvivu. Watu wanataka kupata vitu kwa short cut na hawaamini kwenye kufanya kazi na kuwa na nidhamu kwenye matumizi. Wanadhani wanaweza kununua maji na yakawapa muujiza wa mafanikio.Ipo haja ya kwenda Kuongeza Mke Kenya ili kuja kupata Uzao wa Kijasiri miaka 30 ijayo.
Sisi Uzao wa Nyerere tumeonesha hatuna ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kwenye boksi la Kura