macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu ni elimu. Trust me. Na usiniambie eti mbona tuna vyuo vikuu vingi. Elimu ya Bongo haina kiwango. Inajaza watu ujinga badalaya kuwaelimisha. Watu hawawezi kufikiri rationally. Watu hawajui matatizo yao yanatokana na nini. Na kingine ni uvivu. Watu wanataka kupata vitu kwa short cut na hawaamini kwenye kufanya kazi na kuwa na nidhamu kwenye matumizi. Wanadhani wanaweza kununua maji na yakawapa muujiza wa mafanikio.Ipo haja ya kwenda Kuongeza Mke Kenya ili kuja kupata Uzao wa Kijasiri miaka 30 ijayo.
Sisi Uzao wa Nyerere tumeonesha hatuna ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kwenye boksi la Kura
Hatari sana MkuuMkuu ni elimu. Trust me. Na usiniambie eti mbona tuna vyuo vikuu vingi. Elimu ya Bongo haina kiwango. Inajaza watu ujinga badalaya kuwaelimisha. Watu hawawezi kufikiri rationally. Watu hawajui matatizo yao yanatokana na nini. Na kingine ni uvivu. Watu wanataka kupata vitu kwa short cut na hawaamini kwenye kufanya kazi na kuwa na nidhamu kwenye matumizi. Wanadhani wanaweza kununua maji na yakawapa muujiza wa mafanikio.
Kihasibu imekaaje? Ha ha ha haView attachment 3034763
Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
Watafikiwa nao subiri wasanii kwanza.Mambo mengine sijui yanafanyika kwa maslahi gani.
Mbona hapeleki manesi,walimu,polisi na migambo wakaenda kula maisha ughaibuni. Hata wanaitwa nchi wahisani nawashangaa kuwezesha watu wanaofuja rasilimali
Inashangaza sana,kuwalipa maslahi na stahiki zao kama vyeo/madaraja imekuwa ngumu halafu ujinga huu unafanyika.Mambo mengine sijui yanafanyika kwa maslahi gani.
Mbona hapeleki manesi,walimu,polisi na migambo wakaenda kula maisha ughaibuni. Hata wanaitwa nchi wahisani nawashangaa kuwezesha watu wanaofuja rasilimali
Ki hasibu imekaaje hii ?View attachment 3034763
Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
kila mtu kwa nafasi yakeKeki ya taifa ni kubwa sana π
Ndege ποΈποΈποΈποΈποΈ wafananao huruka pamoja.Mambo mengine sijui yanafanyika kwa maslahi gani.
Mbona hapeleki manesi,walimu,polisi na migambo wakaenda kula maisha ughaibuni. Hata wanaitwa nchi wahisani nawashangaa kuwezesha watu wanaofuja rasilimali
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hatuna Rais, Rais alifariki miaka mi3 iliyopita...tuliyenaye ni day waka tuu!!.