Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Kweli kaka, magari kama 5 hivi yapo pembeni ya ufukwe wa Ziwa Victoria.
Ingekuwa sijaliona ningemsapoti anayeponda. Lakini nililipiga picha, ingawa sijajua nimeiweka wapi. Ngoja niisake. Ina namna AMP nadhani
 
Ingekuwa sijaliona ningemsapoti anayeponda. Lakini nililipiga picha, ingawa sijajua nimeiweka wapi. Ngoja niisake. Ina namna AMP nadhani
Sijui kama yanafanya kazi yale magari au yamekufa na yapo pale kama mapambo.
 
Hakuna jipya..hata mupenzi wangu aliagiza Kama hilo mwezi January 😎
 
Watu wa sampuli hiii hawa ndo maskini kamili sasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi ndo wale mliodeki barabara ili Lowasa apite, akili mlishazinya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…