joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa hiyo wewe roho inakuuma?yah kwani wewe roho haikuumi,kuona msanii wa nje anatoboa kimasiha wakati wa ndani jasho jingi mavuno hafifu!!!
ndio maana nasema bado sana,kwani SA ina watu milioni mia ngapi!!!!
ukiangalia hata pay per view youtube bado tz tunalipa watu pesa ndogo mno,hii inazidi kuchangia sanaa kuleta matokeao hafifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na utajiri unaoweza kudumu kama kina Dewji na kina Bakhressa kwa mwafrika ni kazi sana...Namuonea sana huruma Diamond Platnumz. Anajaribu kuprove point kwa watu ambao hawako kwenye mashindano nae. Jamaa akifilisika hapo mbele sintoshangaa. Eti hoteli Mikocheni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Aya bana!
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmh hayo ni mawazo yako tuKuwa na utajiri unaoweza kudumu kama kina Dewji na kina Bakhressa kwa mwafrika ni kazi sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
navutiwa na hyo picha ya dp yako tuSmart911 what are you doing? ? Kipenzi tena? ? Badae sitaki lawamaa
mhhh haaya.nadhani hujanielewa.Kwa hiyo wewe roho inakuuma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoa jasho ndio sifa ya mwanaume.
Mimi hainiumi bali ana ni inspire na kuni motivate ktk kutafuta kwangu.
Wote ni wanaume na wote wame hustle.mhhh haaya.nadhani hujanielewa.
hivi kati ya mond na tecno nani mwanaume katika vigezo vya kuhaso???
Sent using Jamii Forums mobile app
DIAMOND HAMILIKI ILE GARI. NASISITIZA HAMILIKI ILE GARI.huko mbali muone kijana wa duro pale tekno,utajua bado sana[emoji16][emoji16][emoji16].
ila kiukweli huwa naumia basi tu.yaani mond ndio kafika peek lakini gari ya kifahari anayomiliki,toyota.anyway wanazi wake watasema nachonga sababu sina hata baiskeri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamiliki wewe
Tupe data naona una uhakika mzee wa data,yaani mtu anunue hotel Mikocheni kipindi hiki cha Magu na janga hili la Corona ashindwe kumiliki V8.
Tilapia Hotel hapa.Hii hapa Rolls Royce ya Mwanza kaka. Nimefukua kwenye library na kuipata!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
ChaiSijui kama yanafanya kazi yale magari au yamekufa na yapo pale kama mapambo.
Hakuna Roll Royce right hand japo zinatengenezwa UingerezaMbona left hand sasa?
Tilapia hotel.Hii hapa Rolls Royce ya Mwanza kaka. Nimefukua kwenye library na kuipata!
Hilo ninabisha mkuu, haiwezekani lisiwepo wakati hadi malkia analo na anaishi uingerezaHakuna Roll Royce right hand japo zinatengenezwa Uingereza
Malkia hatumii Roll Royce anatumia RangeRRover na Jaguar sambamba na Waziri mkuuHilo ninabisha mkuu, haiwezekani lisiwepo wakati hadi malkia analo na anaishi uingereza