Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

S Sopowaa hatakama ni sued
 
Ginimbi njemba ya Uganda kwenye showroom yake anauza rose loose nayeye anazo mbili za kutembelea
 
Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
[emoji23][emoji23]nyie ndio wale wanaotafuta iphone x s max jukwaa la biashara ndogo ndogo.

nimekaa hapa nawaza,hivi ili uweze kuhaso unatakiwa ufanyaje,maana wengine hatuelewi watu wanatafutaje hela[emoji23][emoji23]
 
Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
😂😂 Spear zake huwezi kuzipata Temeke mzee, unatuma order kiwandani...
 
Nasikia hutengenezwa kwa oda maalumu. Yaani huwezi likuta showroom. Unaagiza wakutengenezee.
Karibu gari zote za Ulaya na Japan unaponunua mpya unaweka order mapema kwa kuchagua trim level na options unazotaka. e.g rangi, aina ya seats, taa, size ya tairi, engine size etc. Ule uzalishaji wa kufyatua kama tofali siku hizi umebaki kwenye kampuni chache saana.
 
mkuu ungesema tu gari za bei mbaya.

hizi gari zetu za kujikingia mvua na jua,bado utaratibu ni kifyatua tu kama matofali[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…