Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

Haikuorozeshwa sentensi moja ouna koma na funga koma io ni miti mingine .
Soma io sentensi.
 
Unajua sababu ya hii picha kuwekew makumbusho marekani
 

Attachments

  • 1707599179147.jpg
    232.1 KB · Views: 19
Unanijibu kwa chatgtp
Hapo ndiponinapo kosea sana .
Unadhani ile picha iliyowekwa makumbusho kwa sababu gani??
Yamekuwa hayo tena?

Hivi unadhani nani asiyewajua ninyi branhamism?

Nani asiyejua kuwa ni nabii wa uongo,

Kwamba picha kuwekwa ikulu ndio nini yaani ,kwamba Leo picha ya MWAMPOSA ikiwekwa ikulu basi ni nabii wa kweli?

Hebu Jenga hoja nzito
 
Yaani badala ujibu hoja unaleta picha dah, kwamba kuwekwa makumbusho ndio nini ?
Nimekuuliza io picha ipo makumbusho kwa ajili gani??
Ingekuwa haina hoja ingekuwa makumbusho??
 
Yamekuwa hayo tena?

Hivi unadhani nani asiyewajua ninyi branhamism?

Nani asiyejua kuwa ni nabii wa uongo,

Kwamba picha kuwekwa ikulu ndio nini yaani ,kwamba Leo picha ya MWAMPOSA ikiwekwa ikulu basi ni nabii wa kweli?

Hebu Jenga hoja nzito
Mwamposa awekee makumbusho??
Wewe ni hutaki kuangalia ukaona
 
Ungepwta shida pia kuishi kipindi vha yesu bila shaka maana na yeye aliitwa nabii wa uongo.
Na makanisa yakazuia watu wasimsikilize
Si yesu tu na manabii wengine wote.

Watu hawabadiliki.
Na nabii haletwi kwa ajili ya kila mtu si kila mtu wakuamini nabii.
Yesu alisema ataendelea kuleta manabii
 
Mwamposa awekee makumbusho??
Wewe ni hutaki kuangalia ukaona
Atakuja mwingine miaka ya mbele ataonesha picha ya MWAMPOSA akiwa na Samia ,atasema ni nabii wa kweli

Hebu acha hii hoja Nyepesi sana, jikite kujibu maswali
 
Branham ana mafundisho ya mashetani ni nabii wa uongo

Tukae humu ,acha porojo
 
Nimekuuliza unajua sababu ya io picha kuwekwa makumbusho
Sasa hiyo ni hoja kweli?😂Kuna mwingine atakuja kusema Unajua sababu ya MWAMPOSA kupiga picha na Samia


Sasa hiyo inathibitisha ni nabii wa kweli ?

Branham ana mafundisho ya mashetani,jikite hapo kumtetea ,nimekuuliza maswali mengi hujajibu ,unakazana na picha ya makumbusho😂
 
Mtu yeyote anayehubiri NENO ni Nabii.

Hapana, si kila mtu anayehubiri ni nabii. Biblia inaonyesha wazi kuwa kuna tofauti kati ya karama za Roho Mtakatifu, na kila mtu anapewa karama tofauti kulingana na mapenzi ya Mungu.

Andiko kuu ni 1 Wakorintho 12:4–11

Hapo tunaona kuwa,
  • Unabii ni karama mojawapo, si kila mtu amepewa.
  • Mhubiri anaweza kuwa mwalimu wa neno, lakini si lazima awe nabii.
  • Waefeso 4:11 inasema: "Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine kuwa wachungaji na waalimu;"

Kwa hiyo, kuna nafasi mbalimbali katika mwili wa Kristo, na si kila mhubiri ni nabii. Kila mmoja anatakiwa atambue wito wake halisi na kuutumikia kwa unyenyekevu..
 
Kuhubiri sio karama
 
matunduizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…