Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

H
Nikuambie tu bwana hamis.
Mungu ni wa watu wachache.
Hajawahi kuwa wakundi kubwawakati wa nuhu watu wa nne,wakati wa sodoma na gomora watu nane, wakati wa eliya 7000, wakati wa daniel 4.
Wwkati wa yesu 12, hata wale sabini walipungua,.

Imekuwa hivyo daima,na jua kiwa mofumo yoote ya kidhehebu haihusiani kitu na ukristo.
Ni mafundisho ya akili za watu.

Yesu alifukuzwa kanisani kwanini??
Kwa sababu ya maundisho yake yalipungana na mafundisho yao.

Eliya alifukuzwa hivyo pia, mikaya alifukuzwa hivyo pia kwenye umoja wa manabii.
Yohana alitoka porini, wesley, Martin luther na wengineo woote walipinga mifumo ya udhehebu(dini)
Na mungu anatuma mtu pale tu ambapo watu wameacha njia yake.

Kama unadhani wakati tynaoishi nisalama na Mungu hana muda endelea.
Lakini jua wakati nuhu anatengeneza safina hawakumueleea,wala luthu na sodoma,wala yesu wala mitume,

Hivyo na sasa.
Biblia inasema ni kundi dogo sana litakalopata neema hio,
Kwaio maadamu ulibahatika kusikia ukaipuuza na kuikejeli endelea na io njia.

Ila kama utahitaji moja ya mahubiri yake nitakupa.
Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawama

1. Mwanzo 4:1 inasema wazi kuwa Adamu alimjua Hawa akazaa Kaini ,

je, hiyo haipingani na fundisho la “seed serpent”?

2. Je, nyoka au shetani ana uwezo wa kuumba au kuzaa wanadamu, ilhali Biblia inasema Mungu pekee ndiye Muumba?

3. Kama “kula tunda” kwenye Mwanzo 3 ni tendo la ngono, kwa nini sehemu nyingine Biblia inapotaja “kula tunda” haimaanishi ngono?

4. 1 Yohana 3:12 inasema Kaini alikuwa “wa yule mwovu” kwa matendo yake, si kwa kuzaliwa ,

je, hii haiondoi hoja kwamba Kaini ni uzao wa nyoka?kama tapeli Branham anavyodai Hawa alizini na nyoka

5. Yohana 3:16 inasema wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye ,

je, fundisho la “mbegu ya nyoka” linalosema baadhi ya watu hawawezi kuokoka halipingani na injili ya Kristo?

JIKITE HUMO ,acha porojo na kunilaumu,
 
Kwanza Yesu hakupinga hayo madhehebu,Bali alipambana na jinsi walivyokuwa wanaharibu na kupotosha maandiko

Zaid aliwasifia anasema HAKI YENU ISIPOZIDI HAKI YA MAFARISAYO ,HAMTAUONA UFALME WA MUNGU
Kupambana kivipi??
Kupambana ndio kupinga kwenyewe
 
H

Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawama

1. Mwanzo 4:1 inasema wazi kuwa Adamu alimjua Hawa akazaa Kaini ,

je, hiyo haipingani na fundisho la “seed serpent”?

2. Je, nyoka au shetani ana uwezo wa kuumba au kuzaa wanadamu, ilhali Biblia inasema Mungu pekee ndiye Muumba?

3. Kama “kula tunda” kwenye Mwanzo 3 ni tendo la ngono, kwa nini sehemu nyingine Biblia inapotaja “kula tunda” haimaanishi ngono?

4. 1 Yohana 3:12 inasema Kaini alikuwa “wa yule mwovu” kwa matendo yake, si kwa kuzaliwa ,

je, hii haiondoi hoja kwamba Kaini ni uzao wa nyoka?kama tapeli Branham anavyodai Hawa alizini na nyoka

5. Yohana 3:16 inasema wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye ,

je, fundisho la “mbegu ya nyoka” linalosema baadhi ya watu hawawezi kuokoka halipingani na injili ya Kristo?

JIKITE HUMO ,acha porojo na kunilaumu,
Hujajibu
Branham ni nabii wa uongo Mzee, umedanganywaje na huyu jamaa
 
Nikuulize walikula tunda gani tulitafute tule tena
 
Kaini alitoa wapi tabia za ibilisi.
Alizozaliwa nazo
 
Mwanzo 2:8-9
[8]BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.

[9]BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Hio miti miwili haikutoka ardhini
 
Nikuulize tenakwanini baada ya kula tunda wakajiona uchi,wakajificha sehem za siri.

Na kwanini aliambiwa atazaa kwa uchungu.
Nyoka alikuwa ni kitu cherevu kinachokaribiana na mwanadamu, hakuwa huyu anaetambaa kbla yakuambiwa kwa tumbo utaenda na mavumbi utakula.

Alimu approach eve.
Ilimwagika damu ,na ndiomana hilo deni kulipwa imebidi damu tena imwagike.
 
Hivi unajua yesu ameongea nini kuhusu uzao wa nyoka
Unadhani alikuwa anaongelea matendo tuu.
Adamu alimjua mkewe ambae nyoka alishamjua kabla yake.

Ndio maana kaini hakuwahi kuhesabika uzao wa Adam.
Alipozaliwa sethi adam alimshukuru mungu kwa kumrudishia uzao wake wakati huo kaini alikuwepo na hakumhesabu kuwa uzao wake
 
Mwanzo 5:1-3
[1]Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;

[2]mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.

[3]Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
 
Hivi unajua yesu ameongea nini kuhusu uzao wa nyoka
Unadhani alikuwa anaongelea matendo tuu.
Adamu alimjua mkewe ambae nyoka alishamjua kabla yake.

Ndio maana kaini hakuwahi kuhesabika uzao wa Adam.
Alipozaliwa sethi adam alimshukuru mungu kwa kumrudishia uzao wake wakati huo kaini alikuwepo na hakumhesabu kuwa uzao wake
Kijana achana na tapeli Branham ,atakupoteza zaidi ,jiulize haya maswali 👇 👇

Yesu aliposema “Enyi kizazi cha nyoka” (Mathayo 23:33), alikuwa akiongea na Mafarisayo waliokuwa wazao wa Ibrahimu kwa damu (Yohana 8:37).

Je, Yesu alikuwa anamaanisha walizaliwa na nyoka au alikuwa anaongelea tabia zao za uovu?

Mwanzo 4:1 inasema

“Adamu alimjua Hawa mke wake, akachukua mimba, akazaa Kaini.” Je, maandiko haya yamekosea?

Ikiwa nyoka ndiye alimjua kwanza, kwa nini Biblia haitaji kabisa tendo hilo?

Ikiwa Kaini si uzao wa Adamu, kwa nini Hawa alimwita jina “Kaini” na kusema

“Nimepata mwana kwa Bwana” (Mwanzo 4:1)?

Je, Hawa hakujua baba wa mtoto wake ni nani?

Mwanzo 5:3-5 inasema Adamu alizaa wana na binti wengi. Kwa nini Biblia haitofautishi kabisa uzao wa Kaini kuwa wa nyoka, bali inamtaja tu kama mtoto wa Hawa?

Seth aliposemwa “uzao wa Adamu” (Mwanzo 5:3), je, hiyo ilifuta uhalisia kwamba Kaini tayari alikuwa mtoto wa kwanza wa Hawa? Kwa nini Biblia haijasema Seth alirudisha uzao uliopotea kwa nyoka?
 
Nikuulize walikula tunda gani tulitafute tule tena
Biblia haisomwi kibubusa hivo, Branham narudi ni nabii wa uongo, ukitaka tumajadili hapa nipo tayari , binafsi sijui dhehebu gani au kikundi gani cha dini sikijui na UTAPELI wao

Unauliza tunda gani ,? Jiulize haya maswali , 👇 👇 👇 huenda ukafunguka kiakili ukaachana na utapeli wa Branham

Biblia inasema tunda lilikuwa la mti wa ujuzi wa mema na mabaya (Mwanzo 2:17; 3:6). Je, Biblia imewahi kusema popote kwamba lilikuwa tendo la ngono?

Ikiwa “kula tunda” maana yake ni tendo la ndoa, je, kwa nini Adamu naye pia alikula tunda (Mwanzo 3:6)? Je, unamaanisha Adamu pia alizini na nyoka?

Kwa nini Biblia inatumia neno “kula” kwa uhalisia katika sehemu nyingi (Mwanzo 9:3; Mithali 25:27; Yohana 6:54) bila kuashiria ngono? Je, kwanini ni pale tu Mwanzo 3 ndipo Branham anabadili tafsiri?

Mwanzo 3:17 Mungu anamwambia Adamu “Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala katika mti...” Je, Mungu mwenyewe hakusema ni mti na si tendo la ngono?

Ikiwa kula tunda ni tendo la ngono, je, kwanini matokeo ya dhambi yalikuwa kufukuzwa Edeni, udongo kulaaniwa, na mwanamke kuzaa kwa uchungu badala ya adhabu maalum ya uzinzi kama tunavyoona kisheria (Mambo ya Walawi 20:10)?
 
Kaini alitoa wapi tabia za ibilisi.
Alizozaliwa nazo
Nitakuwa nakujibu kwa maswali ,naiman yatakufungua na utaachana na nabii wa uongo Branham

Unauliza kaini alitoa wapi tabia za ibilisi, kwani wewe Leo tabia mbaya unatoa wapi?

1 Yohana 3:12 inasema “Kaini alikuwa wa yule mwovu”

je, maandiko yanasema alikuwa amezaliwa na yule mwovu, au anaitwa hivyo kwa sababu ya matendo yake maovu?

Yesu aliwaambia Mafarisayo

“Ninyi mnatoka kwa baba yenu Ibilisi” (Yohana 8:44)

je, hiyo inamaanisha Mafarisayo wote walizaliwa na ibilisi? Au alikuwa anaongelea tabia zao?

Mwanzo 4:7 Mungu mwenyewe anamwambia
👇👇👇👇👇
7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

Kwa nini Mungu anampa Kaini nafasi ya kutenda mema ikiwa tayari alikuwa uzao wa ibilisi asiye na nafasi ya kuokoka?😂😂. Unaona sasa Utapeli wa Branham nabii wa uongo

Ikiwa tabia za ibilisi ni za kuzaliwa, kwa nini Biblia inafundisha kila mtu anaweza kubadilishwa na Roho Mtakatifu (2 Wakorintho 5:17)?

Je, fundisho la kusema Kaini alirithi asili ya ibilisi halimpingi Mungu kama Muumba, ambaye alisema kila kitu alichoumba kilikuwa chema (Mwanzo 1:31)?
 
Mwanzo 2:8-9
[8]BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.

[9]BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Hio miti miwili haikutoka ardhini
Mwanzo 2:9 inasema wazi

“BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti... na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.”

👉 Ikiwa hii miti miwili haikutoka ardhini, kwa nini imeorodheshwa katika sentensi moja na miti yote iliyochipushwa kutoka ardhini?

Je, Mungu angepotosha wanadamu kwa kuandika kana kwamba miti hiyo ilichipushwa “katika ardhi” ikiwa kweli haikutoka ardhini?

Kila sehemu kwenye Biblia inaposema “mti” (Mwanzo 1:11-12; Ezekieli 47:12; Mathayo 7:17-19) ni mti halisi unaoota ardhini.

Je, ni wapi Biblia imetumia neno “mti” kwa maana ya tendo la ngono?

Je, kwa nini Mungu aliwazuia Adamu na Hawa wasiule tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya (chakula), kama kweli “tunda” lingekuwa tendo la ngono?

Je, unamaanisha Adamu na Hawa
waliumbwa wasiwe na ngono?

NIKISEMA BRANHAM NI NABII WA UONGO NITAKUWA NAKOSEA?
 
Hata yesu alisemekana hivyo pia,
Hajawahi kuja nabii akapendwa
Yesu mwenyewe alisema “Msiamini kila roho, bali zipimeni rohoni, kwamba zinatoka kwa Mungu” (1 Yohana 4:1). Kigezo cha nabii siyo kuchukiwa na watu, bali ni kama unabii wake unakubaliana na maandiko na unatimia bila kosa (Kumbukumbu la Torati 18:22).

Hata manabii wa uongo walikataliwa na kuchukiwa na watu wa Mungu, mfano Yeremia 23:16-17 na Ezekieli 13:2-3. Kwa hiyo chuki ya watu si uthibitisho wa unabii, bali uaminifu kwa Neno la Mungu pekee. Nabii wa kweli hawezi kufundisha kinyume cha maandiko, haijalishi amekataliwa au amepokewa.
 
Nikuulize tenakwanini baada ya kula tunda wakajiona uchi,wakajificha sehem za siri.

Na kwanini aliambiwa atazaa kwa uchungu.
Nyoka alikuwa ni kitu cherevu kinachokaribiana na mwanadamu, hakuwa huyu anaetambaa kbla yakuambiwa kwa tumbo utaenda na mavumbi utakula.

Alimu approach eve.
Ilimwagika damu ,na ndiomana hilo deni kulipwa imebidi damu tena imwagike.
Baada ya kula tunda, Biblia inasema wazi kuwa Adamu na Hawa walitambua uchi wao (Mwanzo 3:7) na wakajificha.

Hali hii haimaanishi walizaliwa na dhambi au walikuwa uzao wa nyoka, bali ni matokeo ya maamuzi yao binafsi ya kutii dhambi.

Kitendo cha kujificha ni kielelezo cha hatia na aibu ya mtu aliyejitambua akikiuka amri ya Mungu.

Kuhusu adhabu ya Hawa ya kuzaa kwa uchungu, Mwanzo 3:16 inafafanua kwamba ni matokeo ya dhambi na kosa la utii, si matokeo ya nyoka kuzini na hawa, Soma biblia taratibu
 
Unanijibu kwa chatgtp
Hapo ndiponinapo kosea sana .
Unadhani ile picha iliyowekwa makumbusho kwa sababu gani??
 
Baada ya kula tunda, Biblia inasema wazi kuwa Adamu na Hawa walitambua uchi wao (Mwanzo 3:7) na wakajificha.

Hali hii haimaanishi walizaliwa na dhambi au walikuwa uzao wa nyoka, bali ni matokeo ya maamuzi yao binafsi ya kutii dhambi.

Kitendo cha kujificha ni kielelezo cha hatia na aibu ya mtu aliyejitambua akikiuka amri ya Mungu.

Kuhusu adhabu ya Hawa ya kuzaa kwa uchungu, Mwanzo 3:16 inafafanua kwamba ni matokeo ya dhambi na kosa la utii, si matokeo ya nyoka kuzini na hawa, Soma biblia taratibu
Kitendo chakujificha sio hatia.
Walijificha kwakuwa walijua wapo uchi.
Alijibu hivyo adam
 
Back
Top Bottom