Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

matunduizi
Kuhubiri ni kuongea maneno ya Mungu KWA watu. Kama Mimi nikiongea na Mungu jambo akanielekeza niwaeleze watu KWA njia ya kuhubiri ( sio KUFUNDISHA).

Nabii ni mtu anayeongea na Mungu na kupewa hilo jambo aje aongee na watu. Hii kazi na ya Muhubiri pia inafanana jambo Kuna wenzao KUWA na tofauti kidogo.

Pia kazi ya Nabii mfano ( Nabii hulda KWA Mfalme Yosia) ni kufafanua maandiko ambayo mtu haelewi. Hii kazi pia inafanywa na Muhubiri. Wahubiri wangeheshimu nafasi yao wangekeleta matokeo makubwa
 
Amen! Uko sahihi..

nataka kujua kwanini unabii sio karama..
 
Back
Top Bottom