adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Mozambique na Togo Christian majority na wapo OICKutambulika vipi?
Mimi ninachojua Kila taaisi nchini ikiwemo BAKWATA inatambulika. Na ndio maana inaendesha MASHAURI ya MIRATHI na TALAKA.
Ni kitu GANI ambacho kwasasa kisheria hakipo ila kwenye katiba ndio kinaweza kupatikana?
Hii HOJA ndio inaleta UGUMU.
Maana hata sisi kwetu tuna SHERIA na MAHAKAMA za UKOO.
Wakatoliki wana CANON LAWS.
Mahakama za Sasa zitakuwa HAZINA Maana tena.
Kila jamii ina utaratibu wake wa mashauri yake.
Nadhani kazi ya serikali itabaki KUGAWA MAFUNGU tu kwa watu, waendeshe MASHAURI yao kwa mujibu wa TARATIBU zao.
Kwanini kwao?
Kwani nani KAPEWA kitu, na wao WAMENYIMWA???
Uganda ilijiunga OIC mwaka 1974 na iliungwa na IDDI AMIN kwasababu zake za kisiasa na kiutawala.
Kila nchi ina MSINGI wake, Tamaduni zake na MAONO yake.
Ndio maana hata leo Samia analazimsiha kujenga UTAMADUNI mpya wa KUUWA WATU, KUTEKA WATU, KUFIRA WATU anaona joto la JIWE na NDANI kwasababu analzimisha watu kufa ya maisha ambayo hajayazoea.
Na alivyo mpumbavu anataka kujenga UDINI wakati, ameshakosana na RAIA, anategemea WANAJESHI na hao WANAJESHI wana DINI zao VILE VILE.
====
Hata Waislam wa Uganda na Kenya Mombasa huwa wanasema kwanini SERIKALI zao zisigawe VYEO vya kisiasa na URAIS kama baina ya UISLAM na UKRISTO kama Tanzania.
Qur'an haikosei nashangaa Waislamu wajinga wanafuata mkumbo.Sasa hijabu yake inashida gani,hiki ndio kipimo kikubwa kuonyesha kwamba yaliyo nyoyoni mwao ni makubwa zaidi kuliko wanayo yadhihirisha
Tokea mkataba wa na bandari Dp world waliongea shombo nyingi eti wanauzwa kwa Waarabu ikawa isitokee mradi kaoewa muarabu hapa Jf zikawa zinatembea propaganda eti Tz inataka kufanywa Islamic county kila kitu Waarabu wakati kipindi wazungu wanachukua tenda sisi hatusema tunauzwa kwa Wagalatia. Na hapa Jf waliweka nongwa mpaka teuzi eti anajaza Waislamu.
Kuna kipindi Waislamu tulisinama kidete Jf na kuwaasa watu , kuwa wote wa Tz tuwa kitu kimoja tuachane vita visivyokuwa na maada na nyuzi uchwara za kusemana hovyo . Lakini wapi walikuwa wanajaza hapa nyuzi za kutusema hata kwa dhuluma na kutukashifu kupitia kiasi haswa ndani ya mwezi wa Ramadhani sasa wameachana na hizo habari wanahubiri umoja kwa kuona Kuna umuhimu wa kuwa pamoja na sisi.