Mozambique na Togo Christian majority na wapo OICKutambulika vipi?
Mimi ninachojua Kila taaisi nchini ikiwemo BAKWATA inatambulika. Na ndio maana inaendesha MASHAURI ya MIRATHI na TALAKA.
Ni kitu GANI ambacho kwasasa kisheria hakipo ila kwenye katiba ndio kinaweza kupatikana?
Hii HOJA ndio inaleta UGUMU.
Maana hata sisi kwetu tuna SHERIA na MAHAKAMA za UKOO.
Wakatoliki wana CANON LAWS.
Mahakama za Sasa zitakuwa HAZINA Maana tena.
Kila jamii ina utaratibu wake wa mashauri yake.
Nadhani kazi ya serikali itabaki KUGAWA MAFUNGU tu kwa watu, waendeshe MASHAURI yao kwa mujibu wa TARATIBU zao.
Kwanini kwao?
Kwani nani KAPEWA kitu, na wao WAMENYIMWA???
Uganda ilijiunga OIC mwaka 1974 na iliungwa na IDDI AMIN kwasababu zake za kisiasa na kiutawala.
Kila nchi ina MSINGI wake, Tamaduni zake na MAONO yake.
Ndio maana hata leo Samia analazimsiha kujenga UTAMADUNI mpya wa KUUWA WATU, KUTEKA WATU, KUFIRA WATU anaona joto la JIWE na NDANI kwasababu analzimisha watu kufa ya maisha ambayo hajayazoea.
Na alivyo mpumbavu anataka kujenga UDINI wakati, ameshakosana na RAIA, anategemea WANAJESHI na hao WANAJESHI wana DINI zao VILE VILE.
====
Hata Waislam wa Uganda na Kenya Mombasa huwa wanasema kwanini SERIKALI zao zisigawe VYEO vya kisiasa na URAIS kama baina ya UISLAM na UKRISTO kama Tanzania.
Qur'an haikosei nashangaa Waislamu wajinga wanafuata mkumbo.Sasa hijabu yake inashida gani,hiki ndio kipimo kikubwa kuonyesha kwamba yaliyo nyoyoni mwao ni makubwa zaidi kuliko wanayo yadhihirisha
Nenda ukabake katoto ka miaka 9Unahitaji ubongo wako upate taarifa sahihi ni dhahir uko brain washed
Nimekwambia kila NCHI ina URITHI, TAMADUNI na MAONO yake.Mozambique na Togo Christian majority na wapo OIC
Kina nani waliongea SHOMBO??Qur'an haikosei nashangaa Waislamu wajinga wanafuata mkumbo.
Tokea mkataba wa na bandari Dp world waliongea shombo nyingi eti wanauzwa kwa Waarabu ikawa isitokee mradi kaoewa muarabu hapa Jf zikawa zinatembea propaganda eti Tz inataka kufanywa Islamic county kila kitu Waarabu wakati kipindi wazungu wanachukua tenda sisi hatusema tunauzwa kwa Wagalatia. Na hapa Jf waliweka nongwa mpaka teuzi eti anajaza Waislamu.
JF ni SOCIA MEDIA, ina watu wote ikiwemo wewe unayeamini AKISEMWA MWARABU, umesemwa UISLAM.Kuna kipindi Waislamu tulisinama kidete Jf na kuwaasa watu , kuwa wote wa Tz tuwa kitu kimoja tuachane vita visivyokuwa na maada na nyuzi uchwara za kusemana hovyo . Lakini wapi walikuwa wanajaza hapa nyuzi za kutusema hata kwa dhuluma na kutukashifu kupitia kiasi haswa ndani ya mwezi wa Ramadhani sasa wameachana na hizo habari wanahubiri umoja kwa kuona Kuna umuhimu wa kuwa pamoja na sisi.
Mimi hata sielewi kwa nini watu wanazipa umuhimu hizi dini za uongo.Sjasoma content ila niseme tu dini __ilikua njia mojawapo iliyotumiwa na wakoloni kuwanyonya waafrica I'm I right??
Asipokuelewa na hapa basi kichwa chake ni mzigo.Zanzibar ni semi autonomy. Wana mambo yao.
Sasa kama Zanzibar ni Tanzania na tayari ipo, kwanini hamuitumii, mnataka nyingine huku bara kama ni nchi moja?
Nimekutajia Mombasa ili ujue kila nchi ina MSINGI, URITHI na TARATIBU zake.
Na kibaya zaidi nguvu yao kubwa miaka yote ni kumtetea huyo asiyewapa "HAKI ZAO" huku wakilaumu ambaye hata hakusanyi kodi wala.hafanyi MAAMUZI.Sasa kosa la TEC hapo ninini kama Serikali haijawapa waislamu haki zao walizoomba?
Problem solving techniques sio rocket science. Mkeo akunyime unyumba ukamlaumu mama mkwe? Mbaya hapo mkeo. (nadhani huu ni mfano rahisi kwa ngumbaru yeyote kuelewa)
Adui yenu hapo ni serikali, hamuoni au?
Mtu yeyote mwenye tabia ya kukwepa uwajibikaji lazima atafute wakumbebesha lawama, Na watu wa hivi wana tabia moja in common; Waongo na wanafiki .Na kibaya zaidi nguvu yao kubwa miaka yote ni kumtetea huyo asiyewapa "HAKI ZAO" huku wakilaumu ambaye hata hakusanyi kodi wala.hafanyi MAAMUZI.
Hawa watu akilinM zao ni CHANGAMOTO sana.
Your not right dini is a way ya kwenda kwa YESU KRISTOSjasoma content ila niseme tu dini __ilikua njia mojawapo iliyotumiwa na wakoloni kuwanyonya waafrica I'm I right??
Siku zote wagalatia linapokuja swala la wao na waislamu huwa kitu kimoja,ndio maana umesikia kelele nyingi sana kama ulivyoelezea hapoMozambique na Togo Christian majority na wapo OIC
Qur'an haikosei nashangaa Waislamu wajinga wanafuata mkumbo.
Tokea mkataba wa na bandari Dp world waliongea shombo nyingi eti wanauzwa kwa Waarabu ikawa isitokee mradi kaoewa muarabu hapa Jf zikawa zinatembea propaganda eti Tz inataka kufanywa Islamic county kila kitu Waarabu wakati kipindi wazungu wanachukua tenda sisi hatusema tunauzwa kwa Wagalatia. Na hapa Jf waliweka nongwa mpaka teuzi eti anajaza Waislamu.
Kuna kipindi Waislamu tulisinama kidete Jf na kuwaasa watu , kuwa wote wa Tz tuwa kitu kimoja tuachane vita visivyokuwa na maada na nyuzi uchwara za kusemana hovyo . Lakini wapi walikuwa wanajaza hapa nyuzi za kutusema hata kwa dhuluma na kutukashifu kupitia kiasi haswa ndani ya mwezi wa Ramadhani sasa wameachana na hizo habari wanahubiri umoja kwa kuona Kuna umuhimu wa kuwa pamoja na sisi.
Jana kwenye Kongamano la Samia alikuwepo, Mwamposa na Kuhani Mussa?Siku zote wagalatia linapokuja swala la wao na waislamu huwa kitu kimoja,ndio maana umesikia kelele nyingi sana kama ulivyoelezea hapo
Mifano ipo mingi humu,akibaka kiongozi wa dini wa kikristo utaona hakuna kelele nyingi humu,ila abake mtu tu mwenye jina la kiislamu comment buku na kitu kuhusiana na uislamu kana kwamba uislamu ndio umemtuma ustaz abake
tuwazoee tu hawa
Hapa hatuzunguzii misaada kama tende na kanzu,hapa tunazungumzia katika nyanja ya kijamii,kama huduma za hospitali,mashule na kadhalikaMleta maada wewe ni rafiki yangu sana katika Imani lakini naomba nikuulize swali moja
TEC wanazuia vipi waislam wa Tanzania wasipate misaada toka uarabun? Na je waarabu kutoa misaada kwa waislam wenzao kama tende na kanzu lazima wapewe ruhusa na TEC yaan na kitima?
Mbona wakristo wa ujeruman kila mwaka wanatoa misaada kwa wakristo wa tz wakati Tanzania haijajiunga katika nchi za kikristo iweje waislam kutoa misaada kwa waislam wenzao ni mpaka Tanzania ijuinge na nchi za kiislamu?
Futa hiyo post yako.Unapoint mkuu
Yaani hapo mfano, kuna nchi ya Kiarabu inataka kutoa msaada wa hicho ulichosema.Hapa hatuzunguzii misaada kama tende na kanzu,hapa tunazungumzia katika nyanja ya kijamii,kama huduma za hospitali,mashule na kadhalika
Unajua kuhusu lobbying,hapa TEC wanaeneza propaganda zao kwa wanasiasa na kuweka uzito kwenye hayo maswala,kama mnavyojua mkipigwa mkwara kuwa kanisa halitawazika basi mnaelegea kabisa
Mkuu sasa hapo tatizo ni TEC au hao wanasiasa? Kwa nini kwa umoja wenu msipambane na hao wanasiasa(CCM)?Hapa hatuzunguzii misaada kama tende na kanzu,hapa tunazungumzia katika nyanja ya kijamii,kama huduma za hospitali,mashule na kadhalika
Unajua kuhusu lobbying,hapa TEC wanaeneza propaganda zao kwa wanasiasa na kuweka uzito kwenye hayo maswala,kama mnavyojua mkipigwa mkwara kuwa kanisa halitawazika basi mnaelegea kabisa
Kuna kitu sijakuelewa kabisa, Ina maana Saudi Arabia au Qatar wakitaka kuja kujenga chuo au hospital kwa ajili ya waislamu serikali na TEC wanakataa?Yaani hapo mfano, kuna nchi ya Kiarabu inataka kutoa msaada wa hicho ulichosema.
TEC wanazuiaje???
Mfano WAKRISTO wa Ujerumani wanasaidia Wakristo wa TAANZANIA kujenga hospitali, mbona serikali haijakataa?
Mwambie akupe hiyo clip ambayo inassma asivae hijab. Mwambie akutumie hata inbox,Sasa hijabu yake inashida gani,hiki ndio kipimo kikubwa kuonyesha kwamba yaliyo nyoyoni mwao ni makubwa zaidi kuliko wanayo yadhihirisha