Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

Unajua nimesikiliza speech za hawa maaskofi hakuna popote nilipoona wamewasema vibaya waislamu. Huwa nashindwa kuelewa hawa mashehe wamechafukwa na nini.
Hao mashekhe kuna vitu wanataka toka serikalini ambavyo wanadhani wakristo wanavipata.

Sasa hawajui kuomba, njia yao ndio hiyo, wameona raisi ni kama yuko upande wao basi ndio wanafanya hayo wakitaraji kuungwa mkono na muislam mwenzao.

Huyo raisi atawatumia tu na kuwaacha kama walivyo kama wasipokua wanatumia akili.
 
Kwanini hawachukuliwa hatua za kisheria?. Niffer alifanya challenge ya nywinywi tu akafunguliwa mashtaka ya uhaini, ndio kusema nchi hii kucheza mziki ni hatari zaidi ya kutishia kukata watu mapanga
Nadhan serikali imeamua kukaa kimya kwa mambo mengi tu,utekaji haukemewi,upotoshaji haukemewi kwahiyo hata hili nalo ni business as usual
 
ila hii nchi aliyesema watakaoandamana atawakata vichwa yupo huru kuliko wanaodai haki wanaonekana wachochezi
Na watekaji nao umesikia wanaambiwa lolote?
Hii ni serikali ambayo imekaa kimya kwa mambo mengi tu na hili likiwa ni moja wapo
 
Kanisa linapewa hela na Serikali ili kufanikisha huduma kwa jamii kama hospital na mashule,swali linakuja je Waislamu hawastahili haya?
Mkuu najua unao uwezo mkubwa wa Kufikiri....😢😢 Soma tena ulichoandika

Hizi hospitali si zinatoa huduma kwa wote? Hayo mashule si yanachukua wanafunzi wa pande zote? Hivyo vyuo si vinadahili wanafunzi wa pande Zote!?

Roma Catholic/Lutheran n.k Wanatumia Pesa Zao wenyewe kuleta hiyo miradi na wala hawajawahi kupiga goti kwa serikali kuomba "TAFU".


NB:Shida sio viongozi wenu pekee bali pia hata Waumini walio wengi
 
TEC Haina mgongano na Waislamu acheni kuforce bifu ambayo haipo.
 
Unadhani kama wangetumia hela yao wenyewe je wangelalamikiwa kwa lipi?

Ukubali au ukatae hilo sio tatizo langu bali ni lako,kuna fedha Kanisa lilikuwa linapewa au linaendelea kupewa kufanikisha hiyo miradi,watu sio wajinga wadai mambo ambayo hayana uhalisia
 
Fanya Utafiti mkuu🙏🙏

Samahani kama nitakukwaza, Ni mradi gani unaomilikiwa na Islamic community ambao ukipigwa tafu utaleta ushindani kwenye industry husika!?
 
Fanya Utafiti mkuu🙏🙏

Samahani kama nitakukwaza, Ni mradi gani unaomilikiwa na Islamic community ambao ukipigwa tafu utaleta ushindani kwenye industry husika!?
Unataka kunitoa kwenye reli au sio,sipo hivyo mkuu
 
Shida yenu na Mashehe wenu na hamna elimu, halafu mnasikiliza kama mungu.

Leteni basi ushahidi wowote kuwa Serikali inazipa hizo pesa Taasisi za kikatoliki, na sisi tuone!!

Mnaishi kwa ILLUSIONS kwamba mnahisi tu lazima serikali inawapa pesa.

Kwasasa kuna Mohamed Mchengerwa na Samia ambao wanaona kwasababu ni Waislam hawatakiwi kupingwa kwa KUTEKA na KUUA watu, watoe HADHARANI huo ushahidi wa pesa walizotoa kwa WAKATALIKI.

Mbona ni jambo la DAKIKA 2 tu.

Shehe MAJINI kapigwa RISASI na MAGAIDI wa Samia, hata Pole hamtoi, nyie ADUI yenu mnaona ni TEC.

Aliyewaroga aliwaweza.
 
Sasa hapo mchawi wao ni serikali sio maaskofu.
 
Sasa hapo mchawi wao ni serikali sio maaskofu.
Mchawi sio serikali ni wao wenyewe.

Wao hawapendi kujitoa kufanya jambo lifanikiwe bali wanapenda kupewa kwa namna ya msaada.

Fatilia tu utaona misikiti mingi haijaisha vizuri labda mtu ajitokeze kumalizia, kuna msikiti uko pale manzese toka 2020 uko vilevile haujaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…