kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hakika mkuu tutende memaMungu anataka upendo na matendo mema,
Mo 11 nikikuonaga Huwa namkuMBUKA ghafla mtu mmoja anaitwa BADILI TABIAAmri kuu ni upendo
Asiyempenda jirani yake anaemuona hawezi kumpenda Mungu asiyemuona : Fid q
Hakika mkuu upendo ni muhimu sana tujitahidi kupendana na kila mtuAmri kuu ni upendo
Asiyempenda jirani yake anaemuona hawezi kumpenda Mungu asiyemuona : Fid q
Mbona hatufanani kabisaMo 11 nikikuonaga Huwa namkuMBUKA ghafla mtu mmoja anaitwa BADILI TABIA
Ndio maana nakupenda sana ila sasa hutaki upendo wangu uvuke bodaHakika mkuu upendo ni muhimu sana tujitahidi kupendana na kila mtu
Asante kwa upendo wako mkuuNdio maana nakupenda sana ila sasa hutaki upendo wangu uvuke boda
Huwezi kusema unampenda Mungu huku unamchukia jirani yako"Mpende jirani yako kama nafsi yako."
Amri kuu.
πππππππβ€οΈβ€οΈHabari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma.
Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili.
Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana dini lakini wanaamini ibada iliyo bora ni kutenda mema kusaidia masikini, yatima na wasiojiweza.
Hiki kitu kimenistaajabisha lakini nadhani hiki kitu ni kizuri kwasababu Mungu anataka upendo na matendo mema, wale watu ambao huwa wanabishana kuhusu dini zao humu kila siku, nadhani ni wale wanaoamini kwenda kanisani na msikitini ndiyo kutawapeleka mbinguni hiyo siyo kweli ndugu zangu tutende matendo mema kama una nafasi ya kumsaidi asiyejiweza ki namna yoyote fanya hivyo.
Huyu mzee aliniambia yeye anawasomesha watoto yatima kadhaa na huwa kuna wengine anaishi nao nyumbani, wakristo na waislamu wengi tuna ubinafsi unaweza kuona hata jirani yako anashinda njaa lakini usishtuke, ndugu zangu tutende yaliyo mema na wala tusikae tukabishana dini ipi sahihi.
Hakika kuna watu wanapenda dini zao kuliko hata watu wanaowazunguka.Huwezi kusema unampenda Mungu huku unamchukia jirani yako
Nawe umesaidia wangapiHabari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma.
Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili.
Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana dini lakini wanaamini ibada iliyo bora ni kutenda mema kusaidia masikini, yatima na wasiojiweza.
Hiki kitu kimenistaajabisha lakini nadhani hiki kitu ni kizuri kwasababu Mungu anataka upendo na matendo mema, wale watu ambao huwa wanabishana kuhusu dini zao humu kila siku, nadhani ni wale wanaoamini kwenda kanisani na msikitini ndiyo kutawapeleka mbinguni hiyo siyo kweli ndugu zangu tutende matendo mema kama una nafasi ya kumsaidi asiyejiweza ki namna yoyote fanya hivyo.
Huyu mzee aliniambia yeye anawasomesha watoto yatima kadhaa na huwa kuna wengine anaishi nao nyumbani, wakristo na waislamu wengi tuna ubinafsi unaweza kuona hata jirani yako anashinda njaa lakini usishtuke, ndugu zangu tutende yaliyo mema na wala tusikae tukabishana dini ipi sahihi.
Barikiwa kwa neno"Kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.
Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.
Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.
Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;
Katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu."
Tatizo lipo kwenye huo huo upendomkuu.Hakika mkuu upendo ni muhimu sana tujitahidi kupendana na kila mtu
Hakika hizi ndiyo zama za mwishoHakika kuna watu wanapenda dini zao kuliko hata watu wanaowazunguka.
Hapo una maanisha upendo wa kimapenzi? Kama ni huo anaotaka Mungu siyo huoTatizo lipo kwenye huo huo upendomkuu.
Mtu mwingine ukimpenda kwa kuonesha dalili ama kumtamkia kabisa, utakuta anakuchukia ama kukuringia.
Ndiyo maana saazingine tunajizuia kuexpress upendo wetu kwa watu.