jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 360
AminaaUmemaliza kila kitu mkuu, ubarikiwe mno😊🙏
AminaaUmemaliza kila kitu mkuu, ubarikiwe mno😊🙏
Ni kweli ni mazuri, Lakini watu wajue ya kwamba sio tiketi ya Kupata wokovu moja kwa moja, Kwa maana hata wasio mwamini Mungu hutenda matendo mema.Matendo mema ni zaidi ya utajiri ; utapendwa na kila , utaheshimika ,utapata mafanikio hapa duniani .