Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

Kuwasaidia wahitaji n zaidi ya upendo, Mungu awabariki sana watu wenye mioyo ya kuwainua na kuyagusa maisha ya wengine hata kwa kidogo mlichojaliwa. Kutoa ni moyo na sio utajiri.

Binafsi sina uwezo kihivyo ila ni heri nimsaidie mhitaji kuliko kwenda kuitoa kama sadaka kanisani.
 
Mabudha ndio wanaoishi maisha mazuri yasiyo na hofu. Hawana hofu ya moto wa milele. Hivi kweli inaingia akilini udanganywe Mungu alimtoa mwanae wa pekee kafara? Ni kwa nini asimwangamize shetani? Basi ni Mungu asiye na uwezo kamili.
 
Dini iliyo safi, Isiyo na dosari mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, Na kujilinda na dunia pasipo na mawaa.
Yakobo 1:27
 
Kuwasaidia wahitaji n zaidi ya upendo, Mungu awabariki sana watu wenye mioyo ya kuwainua na kuyagusa maisha ya wengine hata kwa kidogo mlichojaliwa. Kutoa ni moyo na sio utajiri.
Namuomba Mungu nifanikiwe siku moja nije kuwasaidia watoto wasioweza kulipiwa ada wenye hali ngumu ya maisha na wengineo
 
Mabudha ndio wanaoishi maisha mazuri yasiyo na hofu. Hawana hofu ya moto wa milele. Hivi kweli inaingia akilini udanganywe Mungu alimtoa mwanae wa pekee kafara? Ni kwa nini asimwangamize shetani? Basi ni Mungu asiye na uwezo kamili.
Kila mtu aamini anachoamini tu
 
Warumi 12:1
[1]Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.
 
Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma.

Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili.

Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana dini lakini wanaamini ibada iliyo bora ni kutenda mema kusaidia masikini, yatima na wasiojiweza.

Hiki kitu kimenistaajabisha lakini nadhani hiki kitu ni kizuri kwasababu Mungu anataka upendo na matendo mema, wale watu ambao huwa wanabishana kuhusu dini zao humu kila siku, nadhani ni wale wanaoamini kwenda kanisani na msikitini ndiyo kutawapeleka mbinguni hiyo siyo kweli ndugu zangu tutende matendo mema kama una nafasi ya kumsaidi asiyejiweza ki namna yoyote fanya hivyo.

Huyu mzee aliniambia yeye anawasomesha watoto yatima kadhaa na huwa kuna wengine anaishi nao nyumbani, wakristo na waislamu wengi tuna ubinafsi unaweza kuona hata jirani yako anashinda njaa lakini usishtuke, ndugu zangu tutende yaliyo mema na wala tusikae tukabishana dini ipi sahihi.
Ni kweli kabisa matendo mema ndiyo ibada inayompendeza Mungu.
Warumi 12:1 inasema Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.
Hivyo basi sio matendo mema Tu ambayo ni Ibada yenye maana ni pamoja na kujitoa kabisa Kwa Mungu yaani tunahesabiwa haki kwa IMANI tena pasipo matendo ya sheria soma Warumi 3
28 Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria.
Sadaka ni siri ya mtu
Kwa mtazamo huo upo Sahihi na ni kweli kabisa Ibada yenye maana ni kwenda kuwasaidia wahitaji mbalimbali kama Yatima na watoto wajane kama isemavyo katika Yakobo 1:27
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Lakini dini ya namna hii haitoshi kuleta wokovu wa mtu binafsi kwa kuwa matendo mema hayamwokoi mtu yeyote,
Soma Warumi 3:28 inasema
Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria.
Kutenda mema ni Sheria ya asili hata watu wasiomjua Mungu hutenda mema,
Pia mtu anaweza akatenda mema na asiamini kama Mungu yupo,
Tufanye nini basi? Soma Warumi 12:1
Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.
Kwa mtazamo huu ibada yenye maana ni kujitoa kama Sadaka kamili mbele za Mungu kwanza hayo Mengine yatakuwa kama Matunda ya udhihirisho kwamba Muumba yupo ndani yako nawe upo ndani yake,
Ukifanya hivi hutatoa sadaki za kujionesha,hutajivuna, hutaleta mashindano yasiyo na maana, hutaiba, uzinzi utakuwa bye bye, hutatamani mke au mme wa jirani yako pia utawasadia Wengine kwa Upendo.
Asante nawasilisha
 
Umemaliza kila kitu mkuu, ubarikiwe mno😊🙏
 
Back
Top Bottom