Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

Tafuta pesa ili upunguze chuki kwa waliokuzidi! Ni ujinga kudhani kila aliyeenda kwa P Diddy basi kafirwa na P Diddy! Kwanza ungekuwa umefuatilia issue nzima ungefahamu ule ushenzi ulikuwa unafanyika kwenye private parties!! Na zile private parties zilikuwa zinahusisha watu maarufu na hadi Vigogo!! Sasa hivi kwa akili yako unadhani sehemu kama hiyo ataruhusiwa mgeni ambae hawamfahamu?! Ikiwa P Diddy na Mafirauni wenzake wamefanya ule ushenzi kwa miaka nenda rudi bila siri kutoka nje maana yake ni kwamba walikuwa wanafanya kwa usiri mkubwa! Sasa usiri utatoka wapi kama utaruhusu hata walk-in guests?!
SAsa domo na babu tale kwa pidido walifuata nini mpaka wakaitwa chumbani kwa pidido? 😃
 
Back
Top Bottom